ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Maandamano ni haki ya kikatiba
Tuna mpango wa kufanya maandamano Tanzania nzima kupinga ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Kwa 26%
Bei ya mafuta ilipanda Kwa 6% soko la Dunia ila hapa kwetu tumeshangaa EWURA imetangaza ongezeko la zaidi ya 26%
Yaani mafuta kutoka tsh 3000 hadi 4000+ hii hajawahi kutoka
Hii inaathiri uchumi wa wananchi wa chini, Leo nauli zimepanda na bidhaa zimepanda
Serikali inakosa huruma Kwa wananchi wa Tanganyika
Serikali iache kusingizia vita ya Iran hili ongezeko sio Fair Kwa mwananchi wa chini
Zambia, Malawi, DRC, Uganda wametangaza kuondosha tozo zote kwenye mafuta ila hapa kwetu wameongeza bei ili wanufaike wachache
Nawaombeni wananchi hiyo siku ya Jumanne tarehe 7 Toka na bango lako hadi Kwa mkuu wa mkoa au wilaya ulipo kupinga huu ukatili na manyanyaso Kwa wananchi wa Tanzania