Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
mi naona, ifikie hatua watu wa diploma watumbie tu ukweli kwamba haturusiw kupewa mikopo ili tuwe tunatambua mapema kuliko kutoa ruhusa tutume maombi ambayo yanakusanya mamillion ya mapesa then hata 0% hupata for me, huu ni wiz uliowaz & npo pa1 kuwaunga wenzangu kwenye maandamano....!
mi naona, ifikie hatua watu wa diploma watumbie tu ukweli kwamba haturusiw kupewa mikopo ili tuwe tunatambua mapema kuliko kutoa ruhusa tutume maombi ambayo yanakusanya mamillion ya mapesa then hata 0% hupata for me, huu ni wiz uliowaz & npo pa1 kuwaunga wenzangu kwenye maandamano Solidarty forever!....!
Mimi pia Diploma aisee kifupi weeeengi tumekosa, hawa bodi wamefanya uhuni kabisaaaa. Kesho hadi kieleweke.
Mtu umepewa nafasi ya ku appeal huhafanya hvyo halafu hapa unakuja kusumbuaaaa kama una vigezo ukiappeal si utapataaaaa.....ukiandamanaaa utaenda na mashamba bodi ya mkopo kuonesha we mtoto wa mkulimaaaa acha kusumbua kudai haki pasipo na hakiiiiii
UDT SANGATIT
Ngoja tuone kama waziri kivuli wa UKAWA kama atakuwa kwenye haya maandamano haya ndio maandamano yenye tija na hapa ndipo pa kupima unafiki wa vijana mambo yao msingi wanajitenga yakija maandamano yasio na kichwa wala miguu ndo wa kwanza kuandamana
Samabaza ujumbe kwa wengne! Hakuna ki2 wanaweza ku2ambia 2waelewe hawa km si ku-allocate mkopo we2!
Pumbavu mkubwa wewe, aliyekwambia una appeal ukiwa mtaani ni nani?? Ku appeal ni hadi uwe chuo na tena uanze kabisa masomo na ichukua miez mitatu kupata majibu ya hiyo appeal, chuo gani kitakupokea bila ada ya semester ya kwanza? Unajua kuna vyuo hiyo ada ya usajili na fee ya semester ya kwanza ni mil 1.4. Mtoto wa masikini atapata wapi hizi hela. Acha kutumia makalio kufikiri mbwa wewe.
Huyu Danya ana waza km yupo kwenye shimo la choo! Waza kwa umakini ww, sio unawaza u2mbo halafu unaongea porojo, nina wasiwasi na elimu uliyo nayo wewe, itakuwa ni elimu ya madftar na haijakusaidia ki2 chochote, au unalaana ya bibi yako mzaa mama yako nini?! Maana hizo ndyo laana ambazo zinaganda wa2 km makalio na chupi! Usiongee ujinga km huu siku nyingne!
Taratibu! Naona tumeendelea maana hata mbwa wa Tanzania ni sehemu ya jukwaa la jamii siku hizi
Mkopo ni haki ya wanafunzi wa elimu ya juu.Kwa hapa serikali hatuwaelewi.Eti bajeti haitoshi...!!,ina maana haitoshi kwenye mikopo tu ya elimu ya juu ila zile za bwerere kwenye uandaaji wa jarida na jkt zilitoshaje?Hapa tunahitaji ufumbuzi na sio majibu rahisi kwenye maswali magumu.Punguzeni shule basi kama mnaona bajeti haitoshi ili mpate wanafunzi ambao bajeti itatosheleza,kila mwaka haitoshi je,ni lini itatosha?Au wekeni wazi kuwa serikali haihitaji wasomi wa elimu ya juu.
Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
Na hii iwe fundisho kwetu Wanafunzi wa vyuoni. Mwakani TUSIKUBALI kuchagua serikali dhaifu kama hii,serikali isiyo na dira,isiyotumia akili kufikiria. WE WILL VOTE INTELLIGENTLY.Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
Au Pesa inaandaliwa kwa ajili ya campaign za mwakani??na za ziara ya hicho chama zinatoshaje?naona wanakaribia kumaliza nchi kwa kufanya ziara.Sisi hatutaki ziara tunataka mikopo ili tuweze kupata elimu juu.
Ukiwa na akili za mbwa c unaweza kuandika 2 yale mawazo ya mbwa! Kuna wa2 wana akili za kuokota km za huyu jamaa anajiita Danya, mi nafikir unafanania kuitwa Dunya!