Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Mi ckwmba ctak kuandamana ila nmeamua tu kpga chin niendelea na ishu zngu hk stree, kwaan hiyo ndyo njia pekee yaktokea?
 
jaman maandamano ni kesho kwanzia bodi ya mkopo ad office ya wazr mkuu,yataanza sa2 asubuh
 
Kila cku maandamano keshoooooooooo.................. uwiiiiiii

Ww una matatizo ya akili nini? Unafikiri leo hayakufanyika! Vijana acheni uoga, kesho Sector ya Elimu ya Juu katika wizara ya Elimu akiwamo Katibu wa wizara huska anapaswa kutujibia yale heslb wameshindwa kujibu! Danya nyamaza maana vijana km ww hakuna uelekeo na chochote unatuambia
 
Ukipata bora ukae kimya au unadhani hakuna wananchi wenye hasira kali acha kukatisha wenzio tamaa! Alafu nyie ndo wakufungiwa jiwe shingoni na kutoswa baharini!
 
Wameamua kuwapigia simu wengne waende tena jkt kwa ungwe nyingne ili kupunguza msongamano sjui ndo suruh?
 
jidanganyeni! Mwaka jana kuna watu waliandamana mpaka wakaota vigimbi
 
Mi ckwmba ctak kuandamana ila nmeamua tu kpga chin niendelea na ishu zngu hk stree, kwaan hiyo ndyo njia pekee yaktokea?

Huu uandishi wa kipuuzi uwe unautumia huko kwenye Facebook. Ukija humu JF haswa jukwaa la elimu tafadhali sana jitahidi kutumia lugha sahihi kwa ajili ya mawasiliano. Natumaini wewe ni muelewa na utaufanyia kazi mwongozo niliokupa.
 
Yaaaaani ww.....poteza mda sana coz foolish age inakusumbuaaa ungekuwa umekua usinge hangaikia uppuzi huo alihali ukijua hakuna kitakacho badirika na hata kikibadirika,ni kwa wengine ambao hata hawakuandamana acha kufikiria kwa kutumiaaw kirobaaaa......maana na bear zingine zitakuunga mkono acha kupoteza mda wako ww....ila anyway ndo umri wakooooo zunguka bongo nzima kuandamana hadi vigimbi vkutoke utaishia kunawa kula wale wengineee

Acha fikra zisizo na msingi ww! Mbna unakuwa km una waza kwa ku2mia u2mbo, ww unafikir utaipata kwa kusubir miujiza! Nipo na wasiwasi maana ww si bure utakuwa kimzimu fulani cha hawa SIRIKALI! Nmeshakuambia nyamaza km huna ya msingi ya kueleza!
 
Ndugu punguzeni matusi katika kuchangia hoja, cha msingi ata sisi tuliopata mkopo inabidi tuungane na wenzetu kuwashauri na kuwaunga mkono sio kuwakatisha tamaa, ni hayo tu jamani, mimi niko pamoja na nyie ndugu zangu na nawaombea kwa mungu mtafanikiwa tu. ahsanteni
 
Umeongea ki2, si wengne wanaongea km wamelala pembeni ya sink la choo! 😱:
 
Ndugu punguzeni matusi katika kuchangia hoja, cha msingi ata sisi tuliopata mkopo inabidi tuungane na wenzetu kuwashauri na kuwaunga mkono sio kuwakatisha tamaa, ni hayo tu jamani, mimi niko pamoja na nyie ndugu zangu na nawaombea kwa mungu mtafanikiwa tu. ahsanteni

dah mwanangu wote wangekuwa na akili ka yako tanzania ii 2ngefanikiwa xana.ila kuna wa2 ka hyu daniel nyagawa{danya} kupata kwake boom kumekuwa kero kwa waliokosa utadhan kapata peke ake.yeye ni mwendo kejel 2 kwa waliokosa.jaman tuliopata tuungane kuwaombea waliokosa co kuwakejel.
 
Live mwana tuungane kuwaombea lakini sio maandamano hapo mwana umesma tuwaombee
 
Back
Top Bottom