Kenya 2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

Kenya 2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

Kenya 2022 General Election

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
"..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP)

Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia uchaguzi mkuu ujao hadi bei ya unga ipunguzwe!

33.jpg

 
Daa...Mungu awasaidie majirani zetu. Tutawasaidia msihofu njooni Kwa upole tutawapa msosi.Daa...inauma sana kuomba chakula Kwa jirani[emoji16]
 
Hawa walituombea mabaya Sana kipindi cha Corona na kutangaza kwamba watanzania tulikia tulidondoka mabarabari na kufa hovyo wakati tulikua mashambani tukiendelea kuchapa kazi, Sasa eti wanatuomba tusiwauzie wengine chakula tuwauzie wao kwa Bei ya chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya miaka yote huwa na shida ya mahindi na vyakula
 
Kenya miaka yote huwa na shida ya mahindi na vyakula
 
Juzi juzi so waliondoa kodi zote kwe mahindi? Imekuwa je bei inazifi kupaa?
 
Back
Top Bottom