Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #21
Absolutely true 👋👋Jeshi la polisi linalinda ccm na viongozi wake nyie raia mnatakiwa kutishwa na kulazimishwa kuipenda ccm.
Hii nchi, badala ya Jeshi la Polisi kuwalinda raia na Mali zao, kama ulivyo wajibu namba Moja ya utendaji wao, wao wajibu namba Moja ni kuwalinda watawala Ili Kwa njia yoyote Ile, wasiweze kuondoka madarakani!😎