Mystery JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 15,843 Reaction score 31,057 Sep 21, 2024 Thread starter #21 covid 19 said: Jeshi la polisi linalinda ccm na viongozi wake nyie raia mnatakiwa kutishwa na kulazimishwa kuipenda ccm. Click to expand... Absolutely true ππ Hii nchi, badala ya Jeshi la Polisi kuwalinda raia na Mali zao, kama ulivyo wajibu namba Moja ya utendaji wao, wao wajibu namba Moja ni kuwalinda watawala Ili Kwa njia yoyote Ile, wasiweze kuondoka madarakani!π
covid 19 said: Jeshi la polisi linalinda ccm na viongozi wake nyie raia mnatakiwa kutishwa na kulazimishwa kuipenda ccm. Click to expand... Absolutely true ππ Hii nchi, badala ya Jeshi la Polisi kuwalinda raia na Mali zao, kama ulivyo wajibu namba Moja ya utendaji wao, wao wajibu namba Moja ni kuwalinda watawala Ili Kwa njia yoyote Ile, wasiweze kuondoka madarakani!π