Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Chawa wa CCM mnarudisha nyuma maendeleo yenu na vizazi vyenu vijavyo, pumbaf sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni mtapata wapi watu wa kuingia road? 😂😂
Nenda ukakutane na Kamanda Mafele!Maandamano ya AMANI yako palepale au hauna habari.
Kwahiyo Mafele atatumwa aje aue Wananchi wanaoandamana?!Nenda ukakutane na Kamanda Mafele!
Labda tulizomchangia ili anunue gari. Juzi kwenye mkutano wa Mwenyekiti Mbowe walimzomea sijui amewakosea nini tena Chadema!Lissu ametoka kununua apartment mpya kabisa Ubeleji, sijui hela katoa wapi
..sasa Polisi kwanini wana'panic ikiwa maandamano hayatakuwa na watu?
Mkuu umeninukuu kimakosa au?!Wauaji mbona mnahangaika sana? Mnadhami hizi kelele zenu zitawasaidia?
Mliishateka na kuua watu, subirinini mshahara wenu kwa ukimya.
Wapi hapa mkuu?
Mbogamboga mwingine huyu hapaJambo lolote ukitaka kulifanya basi lifanye kwa sababu madhubuti na ikiwezekana pima nguvu itakayokuunga mkono.
Watanzania wote wanaumizwa na vifo vya wenzao na hasa vikiwa vya kutekwa.
Pamoja na hivyo Chadema kutaka kukitumia kifo cha Ali Kibao kama gia ya kupindua nchi hakujawahamasisha watu wengi.
Tangu mwenyekiti wa chama hicho atoe tamko lake la dharau kwa raisi ukipita mitaani huoni hiyo hamasa ya kushiriki maandamano yenye bango alilotangaza.
Chadema ikipenda kupata vuguvugu la watu kuandamana wasubiri tukio jengine la kuwavuta watu wengi na kwa hoja madhubuti.
Kwa hili la safari hii badala ya kuungwa mkono wanaweza wakakuta wananchi wanasaidiana kuwarushia madongo watakaoingia barabarani pamoja na kuwazomea.
Nahofia tamko la mwenyekiti litakivunjia hadhi chama chake kuliko safari yoyote iliyopita huko nyuma na sijui kulikuwa na kikao cha maamuzi au ilimtoka tu akiwa jukwaani.
Au una matatizo ya upofu?! Mbona tuliandamana kwa wingi.Kwenye mikutano yenye vibali vya polisi watu hawaonekani itakuwa maandamano ambayo wanaotakiwa waandamane wala hawajaelewa kwa sababu gani ?
Wewe utakuwa mmoja kati ya mazuzu wengi nchi hii.Jambo lolote ukitaka kulifanya basi lifanye kwa sababu madhubuti na ikiwezekana pima nguvu itakayokuunga mkono.
Watanzania wote wanaumizwa na vifo vya wenzao na hasa vikiwa vya kutekwa.
Pamoja na hivyo Chadema kutaka kukitumia kifo cha Ali Kibao kama gia ya kupindua nchi hakujawahamasisha watu wengi.
Tangu mwenyekiti wa chama hicho atoe tamko lake la dharau kwa raisi ukipita mitaani huoni hiyo hamasa ya kushiriki maandamano yenye bango alilotangaza.
Chadema ikipenda kupata vuguvugu la watu kuandamana wasubiri tukio jengine la kuwavuta watu wengi na kwa hoja madhubuti.
Kwa hili la safari hii badala ya kuungwa mkono wanaweza wakakuta wananchi wanasaidiana kuwarushia madongo watakaoingia barabarani pamoja na kuwazomea.
Nahofia tamko la mwenyekiti litakivunjia hadhi chama chake kuliko safari yoyote iliyopita huko nyuma na sijui kulikuwa na kikao cha maamuzi au ilimtoka tu akiwa jukwaani.
Hilo utajua weweMbona mwenyekiti wako hajasema kuwa ni ya amani
Jambo lolote ukitaka kulifanya basi lifanye kwa sababu madhubuti na ikiwezekana pima nguvu itakayokuunga mkono.
Watanzania wote wanaumizwa na vifo vya wenzao na hasa vikiwa vya kutekwa.
Pamoja na hivyo Chadema kutaka kukitumia kifo cha Ali Kibao kama gia ya kupindua nchi hakujawahamasisha watu wengi.
Tangu mwenyekiti wa chama hicho atoe tamko lake la dharau kwa raisi ukipita mitaani huoni hiyo hamasa ya kushiriki maandamano yenye bango alilotangaza.
Chadema ikipenda kupata vuguvugu la watu kuandamana wasubiri tukio jengine la kuwavuta watu wengi na kwa hoja madhubuti.
Kwa hili la safari hii badala ya kuungwa mkono wanaweza wakakuta wananchi wanasaidiana kuwarushia madongo watakaoingia barabarani pamoja na kuwazomea.
Nahofia tamko la mwenyekiti litakivunjia hadhi chama chake kuliko safari yoyote iliyopita huko nyuma na sijui kulikuwa na kikao cha maamuzi au ilimtoka tu akiwa jukwaani.
Mbowe ili abaki na historia nzuri basi afanya kama Zitto Kabwe.CHADEMA hakina viongozi, mwenyekiti na katibu wote form six leavers. Wanaropoka kihuni tu. Tundu Lissu anajitahidi sana kuonesha namna sahihibya kuendesha chama lakini vizingiti vya mwenyekiti ni vizito sana. Hivyo sana hawa watu.