sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Chadema washajichokea mmebaki wafia chama. Hakuna mtu wa kuacha shughuli zake akaandamane..Mjumbe wa Kamati Kuu ameuwawa na Polisi.
..Viongozi wa vijana wanne wametekwa haijulikani walipo.
..Kweli unategemea Chadema wawe business as usual?
..Hata kama Chadema haina watu, lakini ktk hili wana haki zote za kuandamana.