Maandamano ya CHADEMA yameshakufa kabla ya siku yake kufika

..Mjumbe wa Kamati Kuu ameuwawa na Polisi.

..Viongozi wa vijana wanne wametekwa haijulikani walipo.

..Kweli unategemea Chadema wawe business as usual?

..Hata kama Chadema haina watu, lakini ktk hili wana haki zote za kuandamana.
Chadema washajichokea mmebaki wafia chama. Hakuna mtu wa kuacha shughuli zake akaandamane
 
Chadema washajichokea mmebaki wafia chama. Hakuna mtu wa kuacha shughuli zake akaandamane

..basi Polisi wasiyapige marufuku.

..pia maandamano sio kwa ajili ya Chadema, ni kwa ajili ya Watz wanaotekwa na kuuwawa kiholela na vyombo vya dola.

..mimi nilitegemea Ccm wachukue dhamana ya kuwatetea wananchi, badala yake mmejikita kupambana na Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…