Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29.
Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana na wanawaza faster na uwezo wao ni mkubwa kuliko makundi mengine. Nawahakikishia Gen-Z will bring this fake government to its knees. Kamwe hatutakubali tena kuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe. Waliyotufanyia imetosha sasa. Wait and watch. Vijana viva viva