...Safari hii tuna nusa mpk chupi ya mama yenu km inanukia uchachu uchachu
Umetisha bossSafari hii tuna nusa mpk chupi ya mama yenu km inanukia uchachu uchachu
...Usiwastue mkuu. Acha waendelee kushupaza shingo zao
Wanakuja kustuka vichwa vya maaskari vinaburuzwa mitaani...
Wakija kushtuka hawa hapa...
...Wanakuja kustuka vichwa vya maaskari vinaburuzwa mitaani
Wewe uko kundi gani?Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29.
Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana na wanawaza faster na uwezo wao ni mkubwa kuliko makundi mengine. Nawahakikishia Gen-Z will bring this fake government to its knees. Kamwe hatutakubali tena kuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe. Waliyotufanyia imetosha sasa. Wait and watch. Vijana viva viva
Hakuna maandamano nchi hii. Yale ya mwanzo yalikuwa na manufaa kwa waandamanaji maana walijipatia chakula na huduma kwa kupora ndiomaana walipata nguvu kwasababu yyaliwanufaisha. Haya ya kuzurula tu hujui unaenda wapi, kufanya nini na baada ya juandamana utakula wapi na kurudi vipi kwako kulala yatafeliKatika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29.