PostGE2025 Maandamano ya D9 yameshafanikiwa kwa 90%. Hata kama raia hawatatoka barabarani, lakini "Message Sent"

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.

Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:

✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa​
✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9​
✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9​
✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9​
✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9​

Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.

​

View attachment 3512540
​

View attachment 3512544
Umasemaaa?Ngapi hukoo?
 
Hakika tangu Ndugu Samia aapishwe maporini huko Dodoma Kila siku ni vikao vya kujadili Maandamano.Hakuna tena vikao vya teuzi .
 
Kuwa muwazi, hivi maandama "physical" hayatakuwepo. Toeni taarifa maalum mapema, msije waponza wachache wakati nyie mpo nyumbani katika luninge na Ipad mkijaza nyuzi JF.

VIJANA TAARIFA NDIO HIYO, KAENI NYUMBANI, MSIANDAMANE.
Usipotoshe Kwa uelewa wako mdogo .Hajasema hivyo
 
Way
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.

Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:

✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa​
✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9​
✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9​
✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9​
✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9​

Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.

View attachment 3512540
​

View attachment 3512544
Watatoka
 
Kwanini tusitoke?

Ujumbe bado hawajaupata.

9D ndio wataupata sasa.

Labda walete askari ambao ni roboti.

Kinyume na hapo wasijidanganye na bunduki zao.

#9D tunatoka.
Ukienda kukamata Simba kwa mikono ili kuonesha ujasiri; WAJINGA watakusifia kuwa ulikuwa mjasiri baada ya kuwa umeshafanywa kitoweo ILA wenye maarifa watakuona MJINGA!
Uamuzi ni wako... ..SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA!
 
Nyie mabinti wenye uhakika wa kuishi milele hapa duniani mna maneno ya kijinga sana.
 
Askari wanakesha wakimsubiria mwivi. Jamaa wanateseka sana, hadi hapo itoshe tu watu wasiingie barabarani.
 
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.

Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:

✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa​
✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9​
✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9​
✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9​
✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9​

Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.

View attachment 3512540
​

View attachment 3512544
🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom