Maandamano ya Kenya msingi wake ni ukabila na uroho wa madaraka wa Gachagua, vijana wanatumika tu, za kuambiwa!

Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Hatujakuomba ufafanuzi.

Hao wa milimani ni raia wa nchi gani? Weka huo muswada hapa tuusome na tuchambue madai ya wanaoupinga...

Punguza kiherehere
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Kwani wewe ni mkenya?
au ni hofu tu ya madaraka,kwamba jambo hilo lisije likaingia huku likakuharibia kitumbua!
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Muongo
 
Umetumwa?
Uoga wetu ndogo umasikini wetu
Kisumu ni wajaruo, maandamano yamepamba moto
Iko siku Mungu atatuondolea uoga na ujinga, na ndiyo hapo tutarudisha mali zetu mlizogawana na watoto wenu
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Ndugu Chinembe huwa napenda kuhoji elimu yako ili nielewe ufahamu wako ni upi? Kwa jinsi ulivyoandika inawezekana hata form four haukutoboa kama kaka yako Nyipe Nyauye.

Na pia mawazo yako kwa kuwa ni mepesi na ni mgando nakuweka kwenye kundi moja na kina msukuma na kibajaji ambao ni darasa, la saba.

Labda nikwambie kitu kimoja kuwa dunia ya sasa na vijana wa sasa wanajitambua sana ndio maana tunaona haki inadaiwa. Hata hapa kwetu bongo tumechelewa, kwa kuwa, tu kuna wachache wanaotuvuruga lakin si muda mrefu utaona vijana wakidai haki zao na hata kuanzisha vyama vipya vya siasa na si vyama vya biashara za, siasa kama tulivyonavyo.
 
Kwamba wewe unayajua maisha ya wakenya kuliko wanavyoyajua wenyewe?.Kwamba wao hawaoni kua wanatumika ila wewe ndiye unayeona?.Kwani wewe umewazidi jambo gani kubwa wakenya zaidi ya uchawa?.Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
 
Ndugu Chinembe huwa napenda kuhoji elimu yako ili nielewe ufahamu wako ni upi? Kwa jinsi ulivyoandika inawezekana hata form four haukutoboa kama kaka yako Nyipe Nyauye.

Na pia mawazo yako kwa kuwa ni mepesi na ni mgando nakuweka kwenye kundi moja na kina msukuma na kibajaji ambao ni darasa, la saba.

Labda nikwambie kitu kimoja kuwa dunia ya sasa na vijana wa sasa wanajitambua sana ndio maana tunaona haki inadaiwa. Hata hapa kwetu bongo tumechelewa, kwa kuwa, tu kuna wachache wanaotuvuruga lakin si muda mrefu utaona vijana wakidai haki zao na hata kuanzisha vyama vipya vya siasa na si vyama vya biashara za, siasa kama tulivyonavyo.
Pole sana, akili zako ulimuachiaga nani?
 
Tatizo ni arrogance ya vijana kama Kimani Ichungwa , Oscar Sudi, Ndindi Nyoro, Moses kuria na wengineo wanao onekana kumdharau Gachagua na kuwa over ambitious hususani katika kipindi cha awamu ya kwanza ya serikali ya Kenya kwanza, mbaya zaidi inaonekana vijana hao kama Ruto ana watetea hivi.

Siasa za kenya huambatana majigambo ya u 'Kingpin' eneo unalotoka, kwa case ya Gachagua anatoka jamii ya wa kikuyu (Mt. Kenya) ni lazima aoneshe kwamba yeye ndio msemaji mkuu na mpangaji mkuu wa jamii hiyo lakini anakutana na changamoto ya wakikuyu walio ndani ya Serikali hususani mawaziri kutokumuunga mkono jambo ambalo linamkasirisha na kumfanya aonekane anakosa usemi katika jamii yake, hivi majuzi ruto alipokuwa Italy Gachagua alifanya 'Roadshow' ya kutema nyongo yake na kuonyesha azma yake ya kutaka kuungana na Kenyatta, Hii combination sidhani kama Ruto anaweza akaruhusu itokee maana itakuwa ni hatari sana na itamletea tabu sana katika uongozi wake, tishio alilokuwa nalo Ruto ilikua ni combination ya Odinga na Kenyatta ambayo tayari ame i neutralize.

Ngoja tuone Gachagua atafanya next move gani, ila kwa upande wa Support kwa sasa Jamii ya Wakikuyu iko upande wake, hata wale waliokuwa AZIMIO wanaona 'mtoto wao' wa mlima anateswa hivyo wako tayari kuwa upande wake na kuonyesha nguvu yake.

Ikumbukwe Gachagua sio mjinga.
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Unakuja na story ya kupumbaza watu, maana unahisi maiti za hapa kwetu zinaweza kuiga hayo na.kuhatarisha mrija wenu majizi ya ccm?
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Maandamano ya kenya ni kwa sababu ya Ugumu wa maisha kutokana na kodi na tozo nyingi kwenye bidhaa zinazopelekea bei za bidhaa muhimu kupanda bei .
Sio UKABILA 🙄😳
 
Back
Top Bottom