Maandamano ya kuchukua fomu makamanda wanajitokeza lakini maandamano ya kupinga kuuawa na kitekwa kwa watu makamanda hawaonekani!

Maandamano ya kuchukua fomu makamanda wanajitokeza lakini maandamano ya kupinga kuuawa na kitekwa kwa watu makamanda hawaonekani!

Wewe inaonekana utakuwa na kitu kikubwa unakijua juu ya mkwamo wa vyama vya upinzani. Ebu weka kilakitu wazi mkuu ili tujue wengi
Mkuu ipo namna hii.
Chama cha Mapinduzi na serikali yake imewaandaa makada wake ambao hawaonekani sana frontier waingie upinzani kisha wakiwa huko wanawezeshwa kujenga hoja dhidi ya uongozi na hoja hizo mara nyingi effects zake ni duni.
Wanaaminiwa na kuingia kwenye nafasi za uongozi kwenye vyama na kinachoendelea ni kuhakikisha unapofika muda muafaka wa kufanya waliloagizwa ikiwemo kuvujisha siri za mikakati na vikao. Wakimaliza ngwe wanarudi home kuzawadiwa vyeo.
Akina Katambi, Mtatiro, Kitila na wengine ni ushahidi wa hili.

Kuna mengine mengi sana yanaendelea yanaogofya sana ila yanafanyika ili kuua upinzani wenye tija kwa nchi.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama baadhi vimeshageuzwa jumuiya za Chama (invisible) na wanafanya vizuri kweli
 
Hahahahhaaa sasa kama ndiyo hivyo unawezaje kujiita mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachoamini kwenye nguvu ya umma na huna uwezo wa kuushawishi huo umma kufanya maandamano yanayotishia government????!!!!!??????
Point of correction.Mbowe alikuwepo kwenye Maandamano na binti yake.Makamanda wengine ndio waliufyata lakini sio Mbowe.Alikuwa frontline.
 
Jibu hili hapa including me and you

Jomo Kenyatta alishawai kusema:

"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"

"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"

"ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao" :~ Jomo Kenyatta
Uongo mtupu. Na nyie nyumbu mnashangilia tu hiyo propaganda. Weka hapa hiyo nukuu aliyosema huyo Kenyatta, kama ipo. Najua haipo😁
 
Sasa kama watanzania ni maiti hawawezi kuamka au kufufuka na kudai haki zao sasa chadema kinawezaje kujiita chama kinachotegemea nguvu ya umma!( Nguvu ya maiti)

Mimi nafikiri busara ingekuwa kwamba,kwakuwa watanzania ni maiti basi chadema inapaswa kuwa Askofu Gwajima. Yaani iwe na uwezo wa kufufua maiti kama Gwajima alivyofanya kwa Amina Chifupa. Hahahahaaaaa
Na ndich inachofanya kwa nguvu kubwa.....sensitization
 
Mkuu ipo namna hii.
Chama cha Mapinduzi na serikali yake imewaandaa makada wake ambao hawaonekani sana frontier waingie upinzani kisha wakiwa huko wanawezeshwa kujenga hoja dhidi ya uongozi na hoja hizo mara nyingi effects zake ni duni.
Wanaaminiwa na kuingia kwenye nafasi za uongozi kwenye vyama na kinachoendelea ni kuhakikisha unapofika muda muafaka wa kufanya waliloagizwa ikiwemo kuvujisha siri za mikakati na vikao. Wakimaliza ngwe wanarudi home kuzawadiwa vyeo.
Akina Katambi, Mtatiro, Kitila na wengine ni ushahidi wa hili.

Kuna mengine mengi sana yanaendelea yanaogofya sana ila yanafanyika ili kuua upinzani wenye tija kwa nchi.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama baadhi vimeshageuzwa jumuiya za Chama (invisible) na wanafanya vizuri kweli
Aisee very sad. Sasa Mbowe na Lissu wao wapo kwenye kundi gani? Je ni makada wa CCM au wapinzani wa ukweli?
 
Wo
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.

Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.

Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!

Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.

Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu

Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
Wote hao waganga njaa
 
Msafara wa kuelekea mezani haulingani na msafara wa kwenda kulima...
 
Back
Top Bottom