Pre GE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.

TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Taka taka kama hizi zilitakiwa ziishie chooni tu. Mumpokee mtu wiki iliyopita tu alikuwa kwenye majukwaa Singida anawapaka kinyesi leo hii muandamane kumpokea. Kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Msigwa ameshalipwa mamia ya mamilioni yake nyie mkapigwe na jua kumpokengeza.
 
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.

TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
 
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.

TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Hivi uwezi tia mtu block? Akajikuta Yuko pekeake!
 
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.

TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Nchi hii ni sheethole kama alivyodai trump

yaani watu na akili zao waandamane kumpokea msigwa badala ya kuandamana kupinga mpina kufukuzwa bungeni
 
Hizi ni burudani zetu tu kupeleka siku mbele,,,ila tunajua mambo ya uchaguzi watu wazito wakiamua yao hamna cha kura kuamua
wala sio burudani, mbowe angekuwa ameachia hiki chama kwa TUNDU LISU, wakafanya siasa zenye akili na sio za kulamba asali, kwanza vijana wake wengi wasingekimbia chadema, pili, angepata urais, tatu kama uraisi angekosa basi alikuwa anapata wabunge wengi sana mwakani hadi kutawala bunge lote au kuleta upinzani wa kueleweka. sasa tutarajie bunge kama hili la sasa kuwepo tena kwasababu tu mchaga mmoja kaamua kukumbatia kiti na kulamba asali peke yake. naamini walioko chadema wanashindwa tu kuongea au kwa kwenda ila ukweli amewachosha sana.
 
Wengine hatuumizi vichwa na sehemu za watu kula,,,watu wanasaka ugali awe side A au B wote ni ugali tu
 
Wengine hatuumizi vichwa na sehemu za watu kula,,,watu wanasaka ugali awe side A au B wote ni ugali tu
of course hilo ni la muhimu. hakuna anayeumiza kichwa, just wishes, ila wengi humu hata ukisema aandamane anakuangalia mara mbili, kwasababu ana familia na shughuli nyingi huo muda hana. though ni muhimu kama raia kuisimamia serikali na kulikomboa taifa.
 
Ukombozi utakuja,,,kama uhuru ulivyopatikana......,,,,nchi ya agano hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…