connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Karibu Iringa, Karibu CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Ama ni yale yale ya DulliTaka taka kama hizi zilitakiwa ziishie chooni tu. Mumpokee mtu wiki iliyopita tu alikuwa kwenye majukwaa Singida anawapaka kinyesi leo hii muandamane kumpokea. Kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Msigwa ameshalipwa mamia ya mamilioni yake nyie mkapigwe na jua kumpokengeza.
Wajinga kama nyie Bado mnaamini Yesu atarudi,huku dini wamewaletea wazungu Ili kuwapumbaza waafrikawala sio burudani, mbowe angekuwa ameachia hiki chama kwa TUNDU LISU, wakafanya siasa zenye akili na sio za kulamba asali, kwanza vijana wake wengi wasingekimbia chadema, pili, angepata urais, tatu kama uraisi angekosa basi alikuwa anapata wabunge wengi sana mwakani hadi kutawala bunge lote au kuleta upinzani wa kueleweka. sasa tutarajie bunge kama hili la sasa kuwepo tena kwasababu tu mchaga mmoja kaamua kukumbatia kiti na kulamba asali peke yake. naamini walioko chadema wanashindwa tu kuongea au kwa kwenda ila ukweli amewachosha sana.
Sio sheethole wewe, ni shithole😎Nchi hii ni sheethole kama alivyodai trump...
dini gani walituletea wazungu ndugu, wakati imani hii tuliyonayo ilikuwepo africa hata kabla ya ukoloni wa wazungu? usikaririshwe.Wajinga kama nyie Bado mnaamini Yesu atarudi,huku dini wamewaletea wazungu Ili kuwapumbaza waafrika
Nimeangalia zaidi ya mara nne ule mkutano wa NEC CCM ukiongozwa na mwenyekiti wao kumpokea Msigwa na yale mashangilio yao nimeishia kufikiria kuwa hawa pengine sio watu kama tunavyo Dhani sisi bali ni viumbe tofauti. Nimeeleweka?Taka taka kama hizi zilitakiwa ziishie chooni tu. Mumpokee mtu wiki iliyopita tu alikuwa kwenye majukwaa Singida anawapaka kinyesi leo hii muandamane kumpokea. Kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu. Msigwa ameshalipwa mamia ya mamilioni yake nyie mkapigwe na jua kumpokengeza.
Mbona kama una hasira na mfadhaiko mkubwa mno mkuu, kwema?!!!!Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.