Pre GE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
... naa-kweli! ... hutu tu mjamaa tulishawahi'mtumia hata Luwasha kama sampuli!
😅
... ati hakuna adui wa kudumu! 😅
 
mbowe ameshawakosa wanyalukolo hivihivi. na hapo adi vijijini kwao hawataitaka kabisa chadema.
Mimi nipo huku unyalukoloni hivi unawajua wanyalu wewe? Kitu ambacho hujui amehama msigwa peke yake na hatobadili chochote sasa wewe unaongea mambo ya unyalukoloni halafu wewe ni mgogo wa Msunjililee
 
Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Hicho chama kinaendeshwa kinafiki na usipokuwa mnafiki na muongo hutakiwi kwenye chama chao. Kwahiyo atakama ulikuwa mkweli hapo zamani watakupandikiza element za kinafiki.
 
APATIWE NAFASI YA UKUU WA KANDA HIYO KISIASA ILI AWAGALAGAZE VIZURI KABISA NA KUWAFILIMBA WATU WA HAKI ZA KIFARAGHA.
 
Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Ni kweli ni kama lbiwe,lema ,lisu ,msigwa walipomsema na kumlaani marehemu lowasa kisha wakamkumbatia na kumkaribisha chadema,Hawa ndio waanzilishi wa akili fupi,chukua hii ikusaidie.
 
Kwa kweli hii nchi kuna mambo yanakatisha tamaa sana!hakuna watu niliokuwa na imani nao Kama Msigwa,kwa kweli nimeumia sana!any way njaa mbaya sana
Pole sana, ndio siasa zetu hizo, hawaaminiki wala kudhaminika.
 
Ni kweli ni kama lbiwe,lema ,lisu ,msigwa walipomsema na kumlaani marehemu lowasa kisha wakamkumbatia na kumkaribisha chadema,Hawa ndio waanzilishi wa akili fupi,chukua hii ikusaidie.
That was a special mission to remove CCM from power, which is keeping clinging on it even after failing to lead our country. Myself, I didn't believe Lowassa was a good leader, but many of us put integrity aside just to set a precedent for changing the government through votes.
 
Hii nchi tamu sana, mambo ya kufurahisha ni mengi mno
 
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.

TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.

View attachment 3031736
Hivi hiki chama kina mahusiano ya damu na yanga?? Maaana huko ndipo Kuna maajabu mengi ambayo badala ya kuvunja rekodi yao yanasaga saga kabisa rekodi!
 
Back
Top Bottom