Pre GE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.


TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.

Na wa Jambiani ,Chanjamjiwiri ,Wete ,Chake Chake nao waje? Au ni Micheweni tu?
 
Watapata wengi maana hapo watapewa buku 7 akili wanazitia mfukoni baada ya hapo wanakuja kutulilia humu kodi ya jengo imepandishwa na TANESCO.
 
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.


TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.

Wana haki ya kuonesha hisia zao.
 
Mmeshaandaa hela za kuhonga waandamanaji?
 
Kwa kweli hii nchi kuna mambo yanakatisha tamaa sana!hakuna watu niliokuwa na imani nao Kama Msigwa,kwa kweli nimeumia sana!any way njaa mbaya sana
 
Ama ni yale yale ya Dulli
 
Wajinga kama nyie Bado mnaamini Yesu atarudi,huku dini wamewaletea wazungu Ili kuwapumbaza waafrika
 
Wajinga kama nyie Bado mnaamini Yesu atarudi,huku dini wamewaletea wazungu Ili kuwapumbaza waafrika
dini gani walituletea wazungu ndugu, wakati imani hii tuliyonayo ilikuwepo africa hata kabla ya ukoloni wa wazungu? usikaririshwe.
 
Nimeangalia zaidi ya mara nne ule mkutano wa NEC CCM ukiongozwa na mwenyekiti wao kumpokea Msigwa na yale mashangilio yao nimeishia kufikiria kuwa hawa pengine sio watu kama tunavyo Dhani sisi bali ni viumbe tofauti. Nimeeleweka?
 
Mbona kama una hasira na mfadhaiko mkubwa mno mkuu, kwema?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…