Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... naa-kweli! ... hutu tu mjamaa tulishawahi'mtumia hata Luwasha kama sampuli!Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Mimi nipo huku unyalukoloni hivi unawajua wanyalu wewe? Kitu ambacho hujui amehama msigwa peke yake na hatobadili chochote sasa wewe unaongea mambo ya unyalukoloni halafu wewe ni mgogo wa Msunjilileembowe ameshawakosa wanyalukolo hivihivi. na hapo adi vijijini kwao hawataitaka kabisa chadema.
hayo mambo kabla ya ujio wa mama Samia.Wanafunzi wanakaa chini kwenye vumbi, kina mama wanafuata maji mbali, badala ya kukaa chini muone jinsi ya kutatua haya matatizo, nyie mnasndamana.
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Etwege
GENTAMYCINE
FaizaFoxy
Nitajieni faida za hayo maandamano.
Hicho chama kinaendeshwa kinafiki na usipokuwa mnafiki na muongo hutakiwi kwenye chama chao. Kwahiyo atakama ulikuwa mkweli hapo zamani watakupandikiza element za kinafiki.Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Ni kweli ni kama lbiwe,lema ,lisu ,msigwa walipomsema na kumlaani marehemu lowasa kisha wakamkumbatia na kumkaribisha chadema,Hawa ndio waanzilishi wa akili fupi,chukua hii ikusaidie.Katika nchi yenye watu wajinga ni Tanzania. Na katika vyama vyenye watu wapumbavu basi ni CCM. Hivi mtu wiki iliyopita alikuwa anausema ubaya wa CCM kwa bidii zote, alikuwa anaapa kuwa CCM imeishiwa halafu baada ya siku mbili anasema CCM ni chama kizuri na kina uongozi mzuri. Hivi hata Samia haoni aibu kusifiwa kinafiki namna hii? Ana akili fupi namna gani? Walimshamsoma alivyo ndiyo maana walimkejeli kwa kusema baada ya Yesu na mtume Mohamed yeye ndiye wa tatu.
Pole sana, ndio siasa zetu hizo, hawaaminiki wala kudhaminika.Kwa kweli hii nchi kuna mambo yanakatisha tamaa sana!hakuna watu niliokuwa na imani nao Kama Msigwa,kwa kweli nimeumia sana!any way njaa mbaya sana
GENTAMYCINE ni mwana CCM Kujitambua na siko katika Kundi la wana CCM Wapumbavu wengi walioko na unaowajua.Wanafunzi wanakaa chini kwenye vumbi, kina mama wanafuata maji mbali, badala ya kukaa chini muone jinsi ya kutatua haya matatizo, nyie mnasndamana.
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Etwege
GENTAMYCINE
FaizaFoxy
Nitajieni faida za hayo maandamano.
That was a special mission to remove CCM from power, which is keeping clinging on it even after failing to lead our country. Myself, I didn't believe Lowassa was a good leader, but many of us put integrity aside just to set a precedent for changing the government through votes.Ni kweli ni kama lbiwe,lema ,lisu ,msigwa walipomsema na kumlaani marehemu lowasa kisha wakamkumbatia na kumkaribisha chadema,Hawa ndio waanzilishi wa akili fupi,chukua hii ikusaidie.
Lina ukweli ndani yake.GENTAMYCINE ni mwana CCM Kujitambua na siko katika Kundi la wana CCM Wapumbavu wengi walioko na unaowajua.
Hivi hiki chama kina mahusiano ya damu na yanga?? Maaana huko ndipo Kuna maajabu mengi ambayo badala ya kuvunja rekodi yao yanasaga saga kabisa rekodi!Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
View attachment 3031736