Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

Acha upumbavu,ukishiriki kujenga ndio una Haki ya Kuzuia wengine wasitumie.kisa wewe unaeandamana?
 
Acha upumbavu,ukishiriki kujenga ndio una Haki ya Kuzuia wengine wasitumie.kisa wewe unaeandamana?
Yule Joyce wowo/ bashite alikuwa anapaa angani? Mbona hamkutoka hadharani na kunenengu??? Kwani kunatofauti gani kati ya anayofanya makonda na hao chadema?
Umeme hamna siyo kweli?
Maji hamna siyo kweli?
Ajira hamna siyo kweli?
Bidhaa muhimu zimepanda bei siyo kweli?
Haya wewe huyaoni. Kama huyaoni mm na wewe mpumbavu ni nani????
 
Ila Leo mmehangaika!! Tangu asubuhi mko kama Kuku anayetaga?
 
Maandamano ya jana Mbeya yamewaamsha chawa na kunguni wote wa watawala utafikiri mumemwagiwa petroli,na bado Arusha na Tarime,hii mjue gari imeshachanganya ni mwendo mdundo hadi nyie slowlearners muelewe kuwa mnaunga mkono wakoloni weusi.
 
Maandamano ya jana Mbeya yamewaamsha chawa na kunguni wote wa watawala utafikiri mumemwagiwa petroli,na bado Arusha na Tarime,hii mjue gari imeshachanganya ni mwendo mdundo hadi nyie slowlearners muelewe kuwa mnaunga mkono wakoloni weusi.
Kwani mumeanza Leo kuandamana? Muwe mnaandamana huko Nje ya Mji sio kutatiza shughuli za watu.

Nchi maskini badala watu mkafanye kazi mnaleta upumbavu
 
Akili, za, hivyo Sana, hizi,yaani,ni Bora upate ugari na kuku ukiwa, jera,kuliko kula ugari na maji ukiwa uraiani! Maandamano, hayajasababisha, maisha magumu! Maisha magumu yapo tangu 1960na ma CCM ndio yanasababisha, kwa, miaka 60,watu wamefsnywa mafukara! Badala, ya, kulaumu waliosababisha, umaskini kwa miaka 55+, unalaumu watu walioleta usumbufu kidogo wa saa kadhaa!
We kenge kweli
 
Miaka yote hayo maandamano yalikuwepo mbona nchi imeshindwa kuzalisha hata umeme wa kutosha?! Tena umeme wa maji? Toka 1961 watu haohaoß si wanafanyaga kazi mbona nchi ni maskani hadi leo? Au huo umaskini unatokana na maandamano ya Mwanza?
Tafuteni chanzo cha matatizo ya nchi hii, msitafute pa kujificha.
 
Siasa ni utumwa, anakuita uandamane akaunti yake benki ina mabilioni...

wewe hadi uchome mahindi ndio upate pesa ya kula...

Unaenda kuandamana unaacha kuingiza pesa, unakufa na njaa...
Unafikiri Senegal kuna wajinga kama wewe? Wameandamana mpaka rais kakubali uchaguzi
 
Pointless na zero brain kabisa...
Kipi bora kati ya kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wachache kwa miaka zaidi ya 60 na kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wengi kwa siku moja na baadaye maisha mengine yakaendelea?.
Watoto wa kwenye mirija ya CCM tatizo lenu hamtumii akili kuwaza ninyi...
 
Hao nyumbu waandamane hata mwaka mzima hakuna kitu watabadilisha. Hao ni wazururaji km wazururaji wengine.
 
Kwa hiyo mnaandama kutafuta umeme na sukari? Mabwege tu nyie
 
We ni mjinga sana, watu wanatetea ugumu wa maisha , hafu we unaleta uchafu wako hapa, nyuzi Kam izi ni kufuta kuunganisha kwenye maandamano ya mwanza
 
Kufanya jambo kwa sababu fulani naye kafanya ni UJINGA
 
We ni mjinga sana, watu wanatetea ugumu wa maisha , hafu we unaleta uchafu wako hapa, nyuzi Kam izi ni kufuta kuunganisha kwenye maandamano ya mwanza
Acha ujinga wewe enzi za JF ni CHADEMA na CHADEMA ni JF zilishaisha- ufute tuone
 
Kwa hiyo mnaandamana kumuiga BASHITE?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…