Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

Tungeanza kwanza kuondoa kadhia ya misafara mikubwa ya viongozi wa ccm/serikali pamoja na kuzuia kufunga ofisi za umma na shule za serikali kwa lazima ili tkwenda kuwapokea viongozi wa serikali/ccm
 
Mmeshakosea sasa
 
Unafikiri Senegal kuna wajinga kama wewe? Wameandamana mpaka rais kakubali uchaguzi
Haya nyie wajanja endeleeni kuandamana, sisi wajinga tuendelee kuyaweka sawa maisha yetu
 
Back
Top Bottom