Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
OkayTutakaobaki ni watu,na tutakaokufa ni watu."KIFO NI KIFO TU" by Samia Sululu Haswa
Alindwe na nani ,?Kama unataka silaha wala hayo sio maandamano ni (Jeshi / Military / Paramilitary) inayoweza kuendesha Guerrila warfare kama walivyofanya kina Kagame, Castro, Museveni, n.k. ni tofauti na jambo unalosema wewe unataka maandamano kuyafanya kama a military / paramilitary en-devour... Sasa sijui kiongozi wenu ni nani, silaha mnazo kiasi gani na mkishachukua nchi anaingia nani....
In short unachohubiri hapa ni kufanya wrongs mbili ili iwe right; wakati unachosema ni uhaini na maandamano ni Haki yako; na since kuna vichaa wanaoua watu na wana itchy fingers ndio maana binafsi sijamshauri mtu atoke, ila kila nayetoka ninamuelewa na namuunga mkono kwa kupigania Haki yake na inabidi alindwe na sio kupigwa...
We kaa tulia na watawala wanaokulisha, wengine tutaandama....nyie subirini maandamano ya kumpongeza daktari wa mchongo samuya kwakupata kura hewa ml 32!Mimi binafsi naona kama maandamano ya amani ni ujinga na kupoteza mda.
Africa huwezi mtoa mtawala Kwa maandamano ya kubeba mabango naamini Desemba 9 watakufa watu na hamna kipya kitakachotokea yaani adui anabeba bunduki wewe unabeba bango.
Eti ukamtoe sifanyi huu ujinga mimi watu wamekufa kama kuku na hawakua na silaha yeyote halafu Mange alivyo mjinga hajalisema jeshi Kwa ujinga lilioufanya anaanza kupromote maandamano mengine
Nasema Mange njoo uandamane mwenyewe bhana
Hatuwezi kufa kijinga tena kama mpaka Leo waandamanaji hawajajua wanaenda kukutana na majangili yenye kutetewa na mtawala feki, hamna ukombozi hapo
Unadhani kwanini dunia nzima inapiga kelele na kila mwenye akili zake anapigia kelele kilichotokea na mauaji yaliyofanyika Tanzania ?!!! - Sababu kilichofanyika sio kwa kigezo chochote chini ya jua...Alindwe na nani ,?
Chawa katumwa kukatisha watu tamaa.Madagaska mbona waliandamana hadi wakamtoa au madagaska haiko afrika??
Madagaska jeshi ndio Lilo mfurumusha tanzania Hamna jeshi la kumfurumusha raisMadagaska mbona waliandamana hadi wakamtoa au madagaska haiko afrika??
Ingieni na mabango tupu halafu muone kifuatacho ITVChawa katumwa kukatisha watu tamaa.
Yeye anafikiri silaha zinashushwa na malaika kwa ajili ya Policcm tu na genge la Abdul.
Kasahau dunia ni kubwa sana wewe ukijua hili wenzako wanajua lile.
Tukutane field 9D.
Umetoa milio ya kila aina lkn hujatoa solutions!!!Mimi binafsi naona kama maandamano ya amani ni ujinga na kupoteza mda.
Africa huwezi mtoa mtawala Kwa maandamano ya kubeba mabango naamini Desemba 9 watakufa watu na hamna kipya kitakachotokea yaani adui anabeba bunduki wewe unabeba bango.
Eti ukamtoe sifanyi huu ujinga mimi watu wamekufa kama kuku na hawakua na silaha yeyote halafu Mange alivyo mjinga hajalisema jeshi Kwa ujinga lilioufanya anaanza kupromote maandamano mengine
Nasema Mange njoo uandamane mwenyewe bhana
Hatuwezi kufa kijinga tena kama mpaka Leo waandamanaji hawajajua wanaenda kukutana na majangili yenye kutetewa na mtawala feki, hamna ukombozi hapo
Waandamanaji wawe na mitutu full stopUmetoa milio ya kila aina lkn hujatoa solutions!!!