Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mkuu hayo ni maandamano ya vijana sio nyie wazee. Madagascar walikuwa na silaha gani, ama Madagascar sio Africa? Nyie ndio wale mlikuwa mnarecord wakati watu wanatekwa badala ya kutoa msaada. Watu tutajitokeza tukitaka kuonyesha hatukubaliani na utawala wa ccm, wakitaka kutuua hatutakufa wenyewe, hata wao na familia zao safari hii watazika. Na hiyo itafanya tupate mabadiliko , ambayo tusingeyapata kwa kufuata uoga wako.Alindwe na nani ,?
Huyo Mange sio anayetuma watu kuandamana, bali anayashabikia tu, usitake kuonyesha watu wanaandamana kwa kumsikiliza Mange, na sio kuchoshwa na huu utawala wa ccm. Kama watu wanamsikiliza Mange, mpeni hela awaagize wamsifie ama kumtetemekea Samia. Ni hivi, tarehe 9 tutatoka, mtuue zaidi ili mabadiliko ni lazima, tutakaokufa itakuwa sadaka kwa watakaobaki ikiwemo ww.