Mkuu hayo ni maandamano ya vijana sio nyie wazee. Madagascar walikuwa na silaha gani, ama Madagascar sio Africa? Nyie ndio wale mlikuwa mnarecord wakati watu wanatekwa badala ya kutoa msaada. Watu tutajitokeza tukitaka kuonyesha hatukubaliani na utawala wa ccm, wakitaka kutuua hatutakufa wenyewe, hata wao na familia zao safari hii watazika. Na hiyo itafanya tupate mabadiliko , ambayo tusingeyapata kwa kufuata uoga wako.Alindwe na nani ,?
Unatoka Ili uuliwe halafu majizi yanabaki madrakani hii akili GaniMkuu hayo ni maandamano ya vijana sio nyie wazee. Madagascar walikuwa na silaha gani, ama Madagascar sio Africa? Nyie ndio wale mlikuwa mnarecord wakati watu wanatekwa badala ya kutoa msaada. Watu tutajitokeza tukitaka kuonyesha hatukubaliani na utawala wa ccm, wakitaka kutuua hatutakufa wenyewe, hata wao na familia zao safari hii watazika. Na hiyo itafanya tupate mabadiliko , ambayo tusingeyapata kwa kufuata uoga wako.
Huyo Mange sio anayetuma watu kuandamana, bali anayashabikia tu, usitake kuonyesha watu wanaandamana kwa kumsikiliza Mange, na sio kuchoshwa na huu utawala wa ccm. Kama watu wanamsikiliza Mange, mpeni hela awaagize wamsifie ama kumtetemekea Samia. Ni hivi, tarehe 9 tutatoka, mtuue zaidi ili mabadiliko ni lazima, tutakaokufa itakuwa sadaka kwa watakaobaki ikiwemo ww.
Hata nikibaki ndani bado naweza kutekwa na hayo majizi, bora nitoke nife kishujaa kuliko kufa kama shoga ndani.Unatoka Ili uuliwe halafu majizi yanabaki madrakani hii akili Gani
Tunajua, lakini message sent. Atatoka tu siku moja. usihofu.Mimi binafsi naona kama maandamano ya amani ni ujinga na kupoteza mda.
Africa huwezi mtoa mtawala Kwa maandamano ya kubeba mabango naamini Desemba 9 watakufa watu na hamna kipya kitakachotokea yaani adui anabeba bunduki wewe unabeba bango.
Eti ukamtoe sifanyi huu ujinga mimi watu wamekufa kama kuku na hawakua na silaha yeyote halafu Mange alivyo mjinga hajalisema jeshi Kwa ujinga lilioufanya anaanza kupromote maandamano mengine
Nasema Mange njoo uandamane mwenyewe bhana
Hatuwezi kufa kijinga tena kama mpaka Leo waandamanaji hawajajua wanaenda kukutana na majangili yenye kutetewa na mtawala feki, hamna ukombozi hapo
Tuna jeshi la machawaMadagaska jeshi ndio Lilo mfurumusha tanzania Hamna jeshi la kumfurumusha rais
Jifungie ndani tena usitoke kabisa.9dec hatuandamani ng'ooo!
Vijana wengi hawataki tena kwa madhara yaliyotokea mo29, so hiyo 9d ukitoka utajikuta peke yako roadJifungie ndani tena usitoke kabisa.
Sawa ashura cheupe?
Pole sana usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Vijana wengi hawataki tena kwa madhara yaliyotokea mo29, so hiyo 9d ukitoka utajikuta peke yako road
Chawa acha uongo vijana wanahasir1 Kali sana ila Mimi nawashauri wawe na bunduki siku hiyo100%Vijana wengi hawataki tena kwa madhara yaliyotokea mo29, so hiyo 9d ukitoka utajikuta peke yako road
Siku hiyo utajikuta peke yako road huku masokoni watu wanashindana kuhemea vyakula vya kukaa ndani hata miezi mitatu.Pole sana usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
We subiri surprise tu hiyo 9D.
Mlizoea kututisha na sisi kuogopa eeh.
Safari hii mmekwama.
Najua unanichimba ili mpate kujua nguvu yetu ikoje.Siku hiyo utajikuta peke yako road huku masokoni watu wanashindana kuhemea vyakula vya kukaa ndani hata miezi mitatu.