Uchaguzi 2020 Maandamano ya tarehe 2 Nov: Je, Ni Demokrasia au waliokosa wanapigania Maslahi Binafsi?

Tanzania πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Mwamba Hakutembelea Hii Mikoa Pemba,Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi,Rukwa, Na Slow Slow
Kasema Ahadi Za Mtukufu Utekelezaji Unaanza Mara Moja
Haa Huko Sasa
 
Dare to knowπŸ‘

Sema kuna watu wanapenda kujitia ubishi. Kila kilicho wazi watajifanya vipofu.
 


Kweli tupu umenena,

wameprint wenyeweπŸ˜‚, wakajaza wenyeweπŸ˜‚, wakayakamata wenyewe πŸ˜‚, wakayachoma moto wenyeweπŸ˜‚ na wanalalamika wenyeweπŸ˜‚.
 
Tuwaonee huruma tu. Kwanza CDM wameingia uchaguzi kila mtu na vyake. Mgombea hata kampeni moja hana m/ kiti wala katibu wa kitaifa. Mgombea hakumnadi mgombea ubunge hata mmoja kwenye jukwaa la kampeni. Watarajia nini hapo? Halafu leo wanaonyesha kura feki halafu wenyewe wanazichomq moto. Huo ni usanii. Utachoma exhibit kweli??? Watanzania iko akili. Alianza mange kimambi hawa watakuwa hali mbaya zaidi. Watanzania HATUDANGANYIKI.
 
Maslahi binafsi tuu...Democracy ilishamalizika October 28th na washindi wameshajulikana nchi nzima na ninawapongeza sana wale walioshindwa wajiandae kwa 2025.

OTHERWISE
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
US na UK wamejipanga kuhakikisha uhuni unakomeshwa. Watahakikisha JPM anaondoka Ikulu. Just a Matter of time
This is Sovereign state just to make the point open and clear.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nipo nimetulia napitia Michango yenu
 
Kabla sijaendelea kusoma Comments niseme tuu ni kama upo akilini mwangu best.

Pia tujue tuu kuwa tusipo kuwa wajanja wapinzani hawana Nia njema.

Tena hakuna mtu ambae anakera kama Zito
Zito bhana aliwahi andikia barua bank gani sijui ili tukose mkopo wa kusomesha watoto wetu shule.Alafu Leo anataka Mimi niandamane eti Democrasia dah.Yaan najikuta na hasira Tu.

Hakuna taifa linalo Juta Africa kama Libya.
Maana wamarekani France Belgium wamepoteza Amani watu ya watu wa Libya wanauna tizama sasa wanachukua mali zao na hawazungumzii tena Democracy na huku watu wanauna kama kuku.Na ndo kumekuwa kichaka cha Magaidi.

Na Walibya wenyewe wanajuta mpaka sasa kumpoteza Kanal Gadafi.
Wameporwa Dhahabu zao Mzee alizo kusanya Kwa ajili ya kutengeneza pesa ya Africa.Sasa hakuna kusoma bure wala hakuna Kula bure kama enzi zao.

Sasa eti hawa miku...u wanaenda kuandamana mi nasali Sana Yule atakae pona basi awe kipofu ama awe Hana mkono wa Kula chakula.
 
Kabla sijaandamana nikajiuliza mbunge ninaeenda kuandamana nae je jimboni kwake mwaka jana kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vitongoji chama chake kilipata nafasi ngapi kati ya nafasi ngapi zilizo kuwepo?
Alaf nitathimin je hapa ata kama wasinge iba kura ange shinda ama bado asinge shinda?
 
Tafadhari usiseme wananchi wameamua. Sema TISS na NEC
Conspiracy theory; upinzani ukishindwa huwa kuna sababu, lakini wao wakishinda huwa ni haki yao. Upinzani Tanzania haujawahi kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais tangu uchaguzi huo uanze takriban miaka 25 iliyopita.
 
Ndiyo kwanza story inaanza mtaandika sana. Hivi yale mauaji ya Zanzibar na mabomu waliokuwa wanarusha ni poliisi au chadema? Au Kenya? You get What it takes
 
Conspiracy theory; upinzani ukishindwa huwa kuna sababu, lakini wao wakishinda huwa ni haki yao. Upinzani Tanzania haujawahi kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais tangu uchaguzi huo uanze takriban miaka 25 iliyopita.
You gonna formulate all narratives. But the truth is. Treason for CCM is coming
 
Unaongea nonsense ...........wewe
Kwaiyo unatuaminisha kuwa sisi woote tunaipenda ccm na tukikusudia kufanya maamuzi hayo Ikiwa hakuna democrasia basi bora tu tujue hii nchi iko kidicteta.

We unaongea bila data bila shaka utakuwa pole pole wewe. Mikataba aliowah kuisign walikuwa ni nani je swal dogo toka uhuru chama pinzani kimewah kuingia madarakani?

Je wamewah kuiba kura kama ilivyokuwa wiki jana. Je kuwewah tokea ccm ikashinda viti vyoote vya ubunge kwa 98%
Watu wa ccm ndo wanamaslah binafsi ma sio ya wananchi

Nchi hii ina miaka 50 toka uhuru na ni ccm imekuwa madarakani miaka yote. Muuwe treni muriudishe mjisifu nimetengeneza, muuuwe viwanda vya zamani mvifufue mjisifu mmetengeneza.

Nipende kukwambia jamaa kuwa watz wa sasa sio 2015 hii ni 2020 tutaenda sawa tu
 
Najiuliza tu hivi kwa jinsi Chadema ilivyo kama kweli wangemkamata mwana ccm akiwa na begi la kura feki wangemuacha salama kweli?
Wahuni wengi tu wa ccm walikamatwa na mabegi yaliyojaa kura zilizokwishapigwa kwa ccm, wakaokolewa na washirika wao policcm - ambao pia walikuwa nazo.. Mwanza Kuna mmoja alipigwa sana, aliponea chupuchupu kuchomwa moto
 
wanadiriki hata kutumia picha za mauaji ya nchi nyingine kutaka kuaminisha umma kuwa Tanzania kuna mauaji makubwa
Mkuu, usiongelee mambo usiyojua.. Kwenye uchaguzi huu kuna wananchi wengi wasio na hatia wameuawa Pemba, Tarime, Rorya, Mtwara, nk..
 
Hata mimi najiuliza angetangazwa Zitto, Mbowe bado wangejivua hizo nafasi? Wawaache na wenzao wale mema ya nchi tu hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…