Maandamano ya Tume huru yaongozwe na maaskofu na Masheikh

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.

Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.

Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.

Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
 
Gentleman,
hakuna maandamano ya majambazi, vibaka au matapeli wa kisiasa yataruhusiwa kuelekea uchaguz mkuu.

hapatakua na nonsense kama hiyo humu nchini 🐒
 
kwa nini mashehe? huo uvuguvugu wenu ndiyo unaowafanya mshindwe kila mahali, mko vitani lkn hata adui hamujui mnawezaje kushinda? its all or nothing …
 
Wewe marekebisho ya sheria za tume ya uchaguzi hazikuhusu? Au wewe ndiye tume ya uchaguzi mwenyewe.
 
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.

Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.

Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.

Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Hahaha endeleeni kudanganyana
 
Naunga mkono, haki huinua taifa..
 
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.

Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.

Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.i haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Masheikh wanafiki sana, wanaona serikali inayoongozwa na Muislam basi ni ya kidini
 
K
Gentleman,
hakuna maandamano ya majambazi, vibaka au matapeli wa kisiasa yataruhusiwa kuelekea uchaguz mkuu.

hapatakua na nonsense kama hiyo humu nchini 🐒

Kwani tutakuja kukuomba Ruhusa Comrade? Vijana wa kariakoo tu hapo hua wanawatoa Jasho, Ndo sembuse nchi nzima?
 
Naona kabisa maaskofu wakiitisha maandamano ya amani kuhakikisha tunapata uchaguzi huru na wa haki. Na maandamano ya maaskofu hakuna atayeyatawanya kwa mabomu wala nini. Haiwezekani jamii yote ikakaa kimya huku tukiona chaguzi zisizoheshimiwa, na kuendelea kupata viongozi wasio na uhalali wa umma.
 
K

Kwani tutakuja kukuomba Ruhusa Comrade? Vijana wa kariakoo tu hapo hua wanawatoa Jasho, Ndo sembuse nchi nzima?
Gentleman,
ni kama ambavyo hapatakua na ruhusa kwenye kutegua hiyo kiuno na taya yao na kirungu ili urudi kwa familia yako na mapengo ukiwa unachechemea 🐒
 
chadema msiingize itikadi za kidini ndani ya siasa

mtapukutika kama majani makavu mtini
 
Back
Top Bottom