Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Upo sahihiNimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa