Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
💯Usichanganye Dini na Siasa
Huku sio kuchanganya Dini na SiasaUsichanganye Dini na Siasa
Gentleman,Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Wewe marekebisho ya sheria za tume ya uchaguzi hazikuhusu? Au wewe ndiye tume ya uchaguzi mwenyewe.kwa nini mashehe? huo uvuguvugu wenu ndiyo unaowafanya mshindwe kila mahali, mko vitani lkn hata adui hamujui mnawezaje kushinda? its all or nothing …
Hahaha endeleeni kudanganyanaNimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Naunga mkono, haki huinua taifa..Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Ni haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Masheikh wanafiki sana, wanaona serikali inayoongozwa na Muislam basi ni ya kidiniNimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye Maandamano ya Amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.i haki na halali kufanya hivyo. Mungu atainuliwa na kutukuzwa
Gentleman,
hakuna maandamano ya majambazi, vibaka au matapeli wa kisiasa yataruhusiwa kuelekea uchaguz mkuu.
hapatakua na nonsense kama hiyo humu nchini 🐒
Gentleman,K
Kwani tutakuja kukuomba Ruhusa Comrade? Vijana wa kariakoo tu hapo hua wanawatoa Jasho, Ndo sembuse nchi nzima?
Una maoni gani kuhusu Masheikh wa Bakwata wanaofanya dua kila siku ya kumuombea Rais na mgombea wa chama tawala?Usichanganye Dini na Siasa
Ha ha ha haUsichanganye Dini na Siasa
Yupo mmoja tu Sheikh Ponda Issa Ponda,yule ni mtu wa haki bila kujali rais ni wa dini gani.Masheikh wanafiki sana, wanaona serikali inayoongozwa na Muislam basi ni ya kidini