Ahidi kitu kingine kizuriHakuna maandamano yatakayoruhusiwa!
Iwe ya kupongeza au kupinga!
Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa!
Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO
Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
Sawa Mzee wa kumogoa! Ule uzi wa kumogoa ilikuwa matata sana!Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa!
Iwe ya kupongeza au kupinga!
Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa!
Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO
Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
Hayo ya UVCCM chama kinaweza kuyapiga marufuku, lakini ya kupinga hakina uhalali wa kufanya hivyo.Ahidi kitu kingine kizuri
wanataka ya Slaa 22/7 yasiruhusiwe kwa kisingizio cha kuzuia haya ya chawaHakuna maandamano yatakayoruhusiwa!
Iwe ya kupongeza au kupinga!
Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa!
Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO
Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
Kizuri kipi rafikiAhidi kitu kingine kizuri
Ccm ndiyo wana haki nchi hii mkuuHayo ya UVCCM chama kinaweza kuyapiga marufuku, lakini ya kupinga hakina uhalali wa kufanya hivyo.
Labda uahidi kutembea uchi kuanzia Kigogo Hadi Kinondoni studio.Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa!
Iwe ya kupongeza au kupinga!
Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa!
Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO
Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
Jamaa ana kitu huyu asipuuzwewanataka ya Slaa 22/7 yasiruhusiwe kwa kisingizio cha kuzuia haya ya chawa
Labda de facto, lakini si de jure.Ccm ndiyo wana haki nchi hii mkuu
Ova
SawaLabda uahidi kutembea uchi kuanzia Kigogo Hadi Kinondoni studio.
Jombaa tangu enzi hizo sijawahi kuacha kunywa maji nilikoma! Usiombe yakukuteSawa Mzee wa kumogoa! Ule uzi wa kumogoa ilikuwa matata sana!
Wana hojaShida imeanzia pale ajenda ya kuwakabidhi bandari DPW imechomekiwa Uzanzibar.
Sasa huyo Mwenyekiti UVCCM taifa pia ni mzanzibar, badala ya kupata positive response ya maandamano kuunga mkono ubinafsishaji wa bandari itazaaa taharuki zaidi.
Shinda ni Mwenyekiti UVCCM taifa pia ni mzanzibar.