Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa!

Iwe ya kupongeza au kupinga!

Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa!

Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO

Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
Uko jikoni mkuu. Kweli bhana wamezuia
 
Target ni Maandamano ya Upinzani ,hao UVCCM wametolewa kama chambo ili yakatazwe ,lengo ni kuweka precedence kwamba hata CCM walizuiliwa.
Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM
 
Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM

Wasingezuia means na Chadema nao wangeruhusiwa(Kusingekuwa na Double standard), Sisi wapenda haki tumesikitishwa sana na Polisi kuzuia maandamano ya UVCCM maana na Chadema obvious watayazuia.
 
Back
Top Bottom