Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Jul 17, 2023 #21 dmkali said: Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!! Click to expand... Uko jikoni mkuu. Kweli bhana wamezuia
dmkali said: Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!! Click to expand... Uko jikoni mkuu. Kweli bhana wamezuia
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Jul 17, 2023 Thread starter #22 King Kong III said: Target ni Maandamano ya Upinzani ,hao UVCCM wametolewa kama chambo ili yakatazwe ,lengo ni kuweka precedence kwamba hata CCM walizuiliwa. Click to expand... Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM
King Kong III said: Target ni Maandamano ya Upinzani ,hao UVCCM wametolewa kama chambo ili yakatazwe ,lengo ni kuweka precedence kwamba hata CCM walizuiliwa. Click to expand... Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 17, 2023 #23 dmkali said: Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM Click to expand... Wasingezuia means na Chadema nao wangeruhusiwa(Kusingekuwa na Double standard), Sisi wapenda haki tumesikitishwa sana na Polisi kuzuia maandamano ya UVCCM maana na Chadema obvious watayazuia.
dmkali said: Walimwengu una maneno! Polisi wasingezuia mngesema polis ni tawi la CCM Click to expand... Wasingezuia means na Chadema nao wangeruhusiwa(Kusingekuwa na Double standard), Sisi wapenda haki tumesikitishwa sana na Polisi kuzuia maandamano ya UVCCM maana na Chadema obvious watayazuia.