Maandamano ya vijana Kenya yamepoteza uelekeo na hayana maana tena

Maandamano ya vijana Kenya yamepoteza uelekeo na hayana maana tena

Ukiona mwenzio ananyolewa zako TIA MAJI...ipo cku yenu nyie CCM yajaa...
sifahamu na sihusiki huko,

unaomaje hali ya maandamano ya majambazi na maporaji hapo kwa majirani zetu?
 
Vurugu, uharibifu na uporaji wa maduka na mali mbalimbali binafsi na za umma vimewafanya kuonekana na kuwabainisha rasmi mchana kweupe, kumbe ni majambazi, magaidi na wezi tu, waliyo jificha kwenye kudai eti miswada wa fedha wa Serikali ya Kenya kwa mwaka 2024/2025 ni mbaya na haufai. kumbe wao ndio wabaya, waharibifu na hawafai na wamethibitisha walivyo kwa vitendo kabisa leo hii.

Bila shaka, hasara ya miundombinu na yakiuchumi waliyo isababisha vijana waandamanaji,
ni dhahiri itachochea ulinzi na usalama kuimarishwa pande zote Kenya, wafanyabishara na serikali wataungana, kukabiliana vilivyo na kwa nguvu zote na mabandits hawa ili wasije kusababisha uharibifu zaidi.

Naamini serikali madhubuti sana ya Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto haitaruhusu wala kuvumilia tena uharibifu zaidi ya uliotokea leo. na muandamanaji atakae jitokeza kuandamana tena atadhibitiwa na kuwajibishwa vilivyo kwa mujibu wa sheria za Jamuhuri ya Kenya.

Heko na kongole nyingi sana kwa maafisa usalama wa kenya kwa weledi wao na umakini mkubwa katika kusimamia usalama wa waandamanaji vijana.

Waandamanaji wachache waliopata majeraha mabaya, ni katika purukushani na harakati za wao kwa wao kupora, kuiba bidhaa na mali mbalimbali kwenye ma supermarkets waliyoyavunja na kukimbia kiholela. na wale wachache waliogongana bahati mbaya katika uporaji huo ndio hao wamejeruhika.

Nawapa pole sana wote, lakini mmekosea sana vijana, na mmepoteza lengo.

Mungu Ibariki Jamuhuri Ya Kenya na Amani :pulpTRAVOLTA:
SIYO KWELI -Uharibufu pekee ni Mali za wabunge wasaliti waliyopiga kura ya ndio muswaada wa fedha onevu.
 
SIYO KWELI -Uharibufu pekee ni Mali za wabunge wasaliti waliyopiga kura ya ndio muswaada wa fedha onevu.
umejuaje?

eti muandamana muungwana,
mlikua mnachagua sio?
kwamba hili ni duka la mbunge na hili sio la mbunge mnaliacha? :pedroP:
 
Back
Top Bottom