Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

Status
Not open for further replies.

Rose Mutwe

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
16
Reaction score
4
Wana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo?

Nawasilisha.

Chanzo: TBC usiku wa habari live.
 
maandamano ni haki ya raia, waachwe waandamane, sula la sababu za polisi kwamba hayana tija.. nani kawambia kwamba ni kwa tija ya polisi. yawe ya tija au vinginevyo na kwa walioyaandaa na watakaoandamana.

cha msingi waletwe polisi wa kutosha na hata wanajeshi kuhakikisha hakuna muandamanaji anayevunja amani ya asiyekuwa mwandamanaji, vinginevyo, itaonekana wanaonewa bure.

hata hivyo hata hivyo, hata wasipoandamana meseji sent tayari, maana kwa kadri inavyoonekana vyombo vya dora vinavyohaha, vimekwishaogopa, usishangae, mtu wao akaachiwa maana nchi hii haisimamii sheria wakati wote, bali wanaopaswa kusimama katika mstari wa sheria wanaangalia upepo unavyovuma, anayebisha asubiri
 
Maandamano ni haki wa wananchi katika kudai haki yote kama inafaa!
 
Ni kwanini polisi wanazuia maandamano ya Aman!?
 
Hawa ndo wanatawala kwa sasa. Dola inawaogopa! Hata bila kubali wataandamana na hawatafanywa chochote!
 
Jamaa walivyo wabishi wanaweza wakaandamana na polisi wakawapa escort.
 
Wana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo?

Nawasilisha.

Chanzo: TBC usiku wa habari live.
Kwa jinsi walivyo, tusishangae kusikia.... ''WAKRISTU WAMEZUIA MAANDAMANO YETU''...... Nyie subirini tu muone na kusikia
 
Wanaandamania kuchinja au ni nn hasa? Nnna nguruwe wangu nimekosa mchinjaji naomba mmoja aje kunichinjia.
 
Kwa jinsi walivyo, tusishangae kusikia.... ''WAKRISTU WAMEZUIA MAANDAMANO YETU''...... Nyie subirini tu muone na kusikia
leo nimekuta hapa oficini kwangu madereva wanajadili eti kwanini ponda anyimwe dhamanawakati

1.lulu alimuua kanumba akapewa dhamana
2.ditopile mzuzuri alimuua dereva wa daladala akapewa dhamana .jedhamana ni kwa wakristo tu ?????????
3.mtikila hakai ndani anapewa dhamana
​nimesikiliza nikasikitik sanasana
 
hawa ndo wanatawala kwa sasa. Dola inawaogopa! Hata bila kubali wataandamana na hawatafanywa chochote!
kweli mara nyingi ukiona watu wanakatazwa kuandamana na wanaandamana ki msingi wao ndio wanakuwa wanaongoza nchi.kwa hiyo hii kanuni ni ya ujumla.ukiona kundi au chama chochote kinaambiwa kisiandamane na kinaandamana ujue ndicho kinachoongoza serikali.
 
Watanzania wenzangu; tuacheni ushabiki wa mambo na kufanya vitu katika hali ya kutulizana.kila mtu anapokuwa na haki si lazma awe anaitumia haki hiyo kila mahali na kila wakati hata kama kufanya hivyo hakuna tija na kuna njia nyengine zenye tija zaidi.kadhalika tujue haki ya mtu mmoja inaishia pale inapoanzia haki ya mtu mwengine na haki lazma ziwe na mipaka kinyume chake ni vurugu.suala la msingi ni je! Tunapata nini kutokana na maandamano na tunakosa nini kutokana na maandamano? Kung'ang'ania tu kwamba hiki ni haki yangu , kile ni haki yangu badala ya kuangalia faida na hasara ya jambo huo utakuwa ni ujinga na tutaendelea kushika mkia kila siku huku tukiendelea kutafutana mchawi.
 
Kwa hili nawasapoti waislamu kwa 100% wanatakiwa wafikishe ujumbe wao kwa njia hiyo nakuonyesha kuchukizwa na kuzuiliwa kwa sheikh Ponda
 
kwa hiyo haki ya kuandama ipo au haipo?
 
kwa hiyo haki ya kuandama ipo au haipo?
ipo lakini ina kanuni na masharti ya kisheria,kanuni na utaratibu.hivi mimi sipingani navyo lakini ninachoshauri ni kwamba ni vizuri kama maandamano yakawa rational.
 
Cha msingi hapa uvumilivu unahitajika,tuwe wakweli kwa kesi ambayo anayotuhumiwa Mr Ponda si ya kukosa dhamana,labda kama kuna lingine nyuma ya pazia
 
Kwa hili nawasapoti waislamu kwa 100% wanatakiwa wafikishe ujumbe wao kwa njia hiyo nakuonyesha kuchukizwa na kuzuiliwa kwa sheikh Ponda

Acha kuwapotosha wenzako wee remote ni kweli kuandamana ni haki ya msingi kikatiba lakini kumbuka kuna taratibu zilizowekwa za kufuata,kamwe huwezi kudai haki kwa kukiuka taratibu,utaambulia kibano na hiyo haki hutoipata,,siku zote mnaumia kwa sababu ya kutojua sheria,af yakiwakuta mnaanza kulilaumu jeshi la polisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom