maandamano ni haki ya raia, waachwe waandamane, sula la sababu za polisi kwamba hayana tija.. nani kawambia kwamba ni kwa tija ya polisi. yawe ya tija au vinginevyo na kwa walioyaandaa na watakaoandamana.
cha msingi waletwe polisi wa kutosha na hata wanajeshi kuhakikisha hakuna muandamanaji anayevunja amani ya asiyekuwa mwandamanaji, vinginevyo, itaonekana wanaonewa bure.
hata hivyo hata hivyo, hata wasipoandamana meseji sent tayari, maana kwa kadri inavyoonekana vyombo vya dora vinavyohaha, vimekwishaogopa, usishangae, mtu wao akaachiwa maana nchi hii haisimamii sheria wakati wote, bali wanaopaswa kusimama katika mstari wa sheria wanaangalia upepo unavyovuma, anayebisha asubiri