Rose Mutwe
Member
- Nov 9, 2011
- 16
- 4
Kwa jinsi walivyo, tusishangae kusikia.... ''WAKRISTU WAMEZUIA MAANDAMANO YETU''...... Nyie subirini tu muone na kusikiaWana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo?
Nawasilisha.
Chanzo: TBC usiku wa habari live.
Lazima tuandamane kesho piga ua!
leo nimekuta hapa oficini kwangu madereva wanajadili eti kwanini ponda anyimwe dhamanawakatiKwa jinsi walivyo, tusishangae kusikia.... ''WAKRISTU WAMEZUIA MAANDAMANO YETU''...... Nyie subirini tu muone na kusikia
kweli mara nyingi ukiona watu wanakatazwa kuandamana na wanaandamana ki msingi wao ndio wanakuwa wanaongoza nchi.kwa hiyo hii kanuni ni ya ujumla.ukiona kundi au chama chochote kinaambiwa kisiandamane na kinaandamana ujue ndicho kinachoongoza serikali.hawa ndo wanatawala kwa sasa. Dola inawaogopa! Hata bila kubali wataandamana na hawatafanywa chochote!
Watanzania wenzangu; tuacheni ushabiki wa mambo na kufanya vitu katika hali ya kutulizana.kila mtu anapokuwa na haki si lazma awe anaitumia haki hiyo kila mahali na kila wakati hata kama kufanya hivyo hakuna tija na kuna njia nyengine zenye tija zaidi.kadhalika tujue haki ya mtu mmoja inaishia pale inapoanzia haki ya mtu mwengine na haki lazma ziwe na mipaka kinyume chake ni vurugu.suala la msingi ni je! Tunapata nini kutokana na maandamano na tunakosa nini kutokana na maandamano? Kung'ang'ania tu kwamba hiki ni haki yangu , kile ni haki yangu badala ya kuangalia faida na hasara ya jambo huo utakuwa ni ujinga na tutaendelea kushika mkia kila siku huku tukiendelea kutafutana mchawi.
ipo lakini ina kanuni na masharti ya kisheria,kanuni na utaratibu.hivi mimi sipingani navyo lakini ninachoshauri ni kwamba ni vizuri kama maandamano yakawa rational.kwa hiyo haki ya kuandama ipo au haipo?
Kwa hili nawasapoti waislamu kwa 100% wanatakiwa wafikishe ujumbe wao kwa njia hiyo nakuonyesha kuchukizwa na kuzuiliwa kwa sheikh Ponda