cblhbn
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 394
- 494
Maandamano ya makumi kwa maelfu ya watu waandamana nchini Kenya, wakilalamika ukosefu waajira na ugumu wa maisha, hii ometokea baada ya kuwepo wimbi kubwa la ufisadi serikalini, na kutokuwepo na mikakati endelevu ya kukuza uchumi na kufuta makampuni makubwa yaliyotoa ajira kwa wakenya wengi.
Hii sio mara ya kwanza kwa nchi ya kenya kuwepo kwa Maandamano ya watu kuelezea uchungu na makali ya maisha, na kutokua na imani ya serilikali yao. Uchumi wa Kenya umekua ukidorora na kuporomoka drastically, kupelekea wafadhili kadhaa wa kadhaa ikiwemo nchi ya china, USA na German kusitisha ufadhili wa miradi mikubwa na Key to the economy Kama SGR Railway, vilevile kushikiwa kwa viongozi wajuu wizara fedha na serikalini kwa kutafuna mabiilioni ya fedha za miradi
Kenya ina jambo lakujifunza kutoka kwa jirani wao Tanzania Katika nidhamu ya matumizi ya kodi za wananchi, ku-forcast, na ku-insure proper allocation of resources na kutengeneza vipaumbele vyenye tija, na maslilahi kwa taifa na vizazi vijavyo.