Maandamano ya watu mil3.5 yaliyo andaliwa na Haki za binadamu nchini Kenya yazimwakwa mabomu,wakitaka uhuru awajibike kwa kujiuzuru

cblhbn

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
394
Reaction score
494
Maandamano ya makumi kwa maelfu ya watu waandamana nchini Kenya, wakilalamika ukosefu waajira na ugumu wa maisha, hii ometokea baada ya kuwepo wimbi kubwa la ufisadi serikalini, na kutokuwepo na mikakati endelevu ya kukuza uchumi na kufuta makampuni makubwa yaliyotoa ajira kwa wakenya wengi.
Hii sio mara ya kwanza kwa nchi ya kenya kuwepo kwa Maandamano ya watu kuelezea uchungu na makali ya maisha, na kutokua na imani ya serilikali yao. Uchumi wa Kenya umekua ukidorora na kuporomoka drastically, kupelekea wafadhili kadhaa wa kadhaa ikiwemo nchi ya china, USA na German kusitisha ufadhili wa miradi mikubwa na Key to the economy Kama SGR Railway, vilevile kushikiwa kwa viongozi wajuu wizara fedha na serikalini kwa kutafuna mabiilioni ya fedha za miradi
Kenya ina jambo lakujifunza kutoka kwa jirani wao Tanzania Katika nidhamu ya matumizi ya kodi za wananchi, ku-forcast, na ku-insure proper allocation of resources na kutengeneza vipaumbele vyenye tija, na maslilahi kwa taifa na vizazi vijavyo.
 
Chanzo Cha habari hizi? Naona Kuna vibonzo wanakoment bila kutaka kujua link...watu wa mtakatifu jiwe mpo?
 
Waacheni wapambane na hali yao na sisi tupambane na yanayotuhusu
 
Hivi kq bado zinaenda marekani
Kama kawaida Kama dawa lazima KQ ifike huko hata Kama wateja sio wengi. Sio Kama ATCL ati hawaendi SA kisa eti Kuna michafuko Hadi nikashangaa Kama michafuko iko kwa airport pia 🤣🤣🤣
 
Ukisikiliza mapambio ya wakenya wa Jf na takwimu zao uchwara halafu ukaangalia uhalisia kwenye media zao ni mbingu na ardhi.
 
Eti maandamano ya wakenya 3.5 million yakazimwa kwa mabomu, tena nchini Kenya! Alafu sisi wakenya hatuna habari na hatukushiriki, hatukusikia wala hatukuyaona maandamano hayo. Aisee, bangi za siku hizi zinafanya watu waote ndoto za ajabu ajabu.
 
Yani unaletewa habari hta ya bila ya kujua imetoka wapi..umeshaanza kuropokwa...

Yani hta huwezi ulizia hata link ukajisomea jamani...kweli umeshazoea maneno ya majukwaani kwako ni ukwel tosha..huaga huskii tena yule jomba akishasema pale jukwaani

Dogo sihitaji link Jf kujua kinachoendelea Kenya nafuatilia media za ukanda huu 24/7.

Kila siku Kenya hukosi habari ya maandamano au mgomo!

Juzi kulikuwepo maandamano wakazi hawataki kuhamishwa milimani na jana wanachuo wameandamana Nairobi.

Hakuna mkenya atakuletea habari ya aina hiyo humu kila siku kujifaragua tu na takwimu za uchochoroni.

Comment yangu inazungumzia uzwazwa wa wakenya wa humu kujikweza kwa kila kitu.
 
Eti maandamano ya wakenya 3.5 million yakazimwa kwa mabomu, tena nchini Kenya! Alafu sisi wakenya hatuna habari na hatukushiriki, hatukusikia wala hatukuyaona maandamano hayo. Aisee, bangi za siku hizi zinafanya watu waote ndoto za ajabu ajabu.
Hapa mie nimeshangaa habari hizi khaa!
 
Dogo sihitaji link Jf kujua kinachoendelea Kenya nafuatilia media za ukanda huu 24/7.

Kila siku Kenya hukosi habari ya maandamano au mgomo!

Juzi kulikuwepo maandamano wakazi hawataki kuhamishwa milimani na jana wanachuo wameandamana Nairobi.

Hakuna mkenya atakuletea habari ya aina hiyo humu kila siku kujifaragua tu na takwimu za uchochoroni.

Comment yangu inazungumzia uzwazwa wa wakenya wa humu kujikweza kwa kila kitu.
Jifunze adabu mbele ya kadamnasi kwanza.
Kalb wahed!
 
Kwn ukikubali km umechemsha kuna shida gani...maneno mengi tu yasiyo na tija...
Nenda kaimbe pambio hko

Back
Top Bottom