Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

Naipongeza serikali ya CCM kwa kuendeleza Umoja na Mshikamano, matunda tunayaona

Matunda ni pamoja na vijana hawaoni sababu ya kuandamana, vijana hawaoni sababu ya kujikwamua kutotka ktk matatizo yanayo wahusu bali ni mafundi wa kuelezea matatizo ya wengine 😂
 
Jana tu kuna mtu humu tumebishana nae nikamwambia Ruto hajui kucheza na akili za watu ww Umetoka kuwapoza kodi ulio taka uwakate umekataa mswaada wake hapo hapo unawaambia nitapunguza mishahara ya wafanyakazi wa kenya yaan unatia petrol kwenye kuni.Mm nasema Ruto hatoboi huu mwezi lazima kuna jambo tutashuhudia watamchomoa urais si mda mrefu
 
Back
Top Bottom