MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.
Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi.
Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya na wapiga kura, mwisho waliosema wata tick hawatoonekana vituoni, kingine vituo vitaharibika na hali ya usalama itakuwa ndogo.
Polisi wakiwekeza nguvu kwenye vituo vya polisi watakosa nguvu kazi ya kuzuia maandamano maeneo mengine magumu na kuruhu waandamanaji kukusanyika zaidi na kuchoma moto sehemu watakazo.
Vyombo vya ulinzi viwasikilize wasio taka uchaguzi kabla hatujaingia kwenye vita