GE2025 Maandamano yakifanyika kwenye vituo vya Kura, uchaguzi unaharishwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.

Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi.

Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya na wapiga kura, mwisho waliosema wata tick hawatoonekana vituoni, kingine vituo vitaharibika na hali ya usalama itakuwa ndogo.

Polisi wakiwekeza nguvu kwenye vituo vya polisi watakosa nguvu kazi ya kuzuia maandamano maeneo mengine magumu na kuruhu waandamanaji kukusanyika zaidi na kuchoma moto sehemu watakazo.

Vyombo vya ulinzi viwasikilize wasio taka uchaguzi kabla hatujaingia kwenye vita
Kwanza, ni muhimu kutofautisha kati ya maandamano ya amani na vurugu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki ya wananchi kuandamana kwa amani kama njia ya kuwasilisha maoni yao. Ikiwa maandamano haya yanafanyika kwa amani, basi kuyatumia kama kigezo cha kuharisha uchaguzi kunaweza kuonekana kama kuzuia haki ya msingi ya kiraia.

Hoja za Kisheria na Kidemokrasia

  • Kuharisha uchaguzi kwa sababu ya maandamano kunaweza kufasiriwa kama njia ya kukwepa uwajibikaji wa kisiasa, hasa kama maandamano hayo yanatokana na malalamiko halali kuhusu mchakato wa uchaguzi.
  • Badala ya kuahirisha uchaguzi, mamlaka husika zinapaswa kushughulikia chanzo cha maandamano—iwe ni madai ya wizi wa kura, ukosefu wa uwazi, au unyanyasaji wa wapiga kura.
  • Katika historia ya chaguzi nyingi duniani, maandamano yamekuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia, si kikwazo chake.

Maswali ya Kuzingatia

1. Je, ni kwa nini maandamano yanatokea kwenye vituo vya kura? Hili ni swali la msingi kuliko kutumia maandamano kama sababu ya kuahirisha uchaguzi.
2. Je, Tume ya Uchaguzi imechukua hatua gani kuhakikisha usalama na uwazi wa mchakato?
3. Ni kwa namna gani vyombo vya dola vinahakikisha usalama bila kukandamiza haki ya kuandamana?
4. Je, kuna ushahidi wa maandamano kuathiri moja kwa moja uhalali wa matokeo ya uchaguzi?
 
Mbona umeniuliza leo... Our goal went well now we are marching on to Dodoma, if need be CCM wataona Uasi
 
Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.

Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi.

Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya na wapiga kura, mwisho waliosema wata tick hawatoonekana vituoni, kingine vituo vitaharibika na hali ya usalama itakuwa ndogo.

Polisi wakiwekeza nguvu kwenye vituo vya polisi watakosa nguvu kazi ya kuzuia maandamano maeneo mengine magumu na kuruhu waandamanaji kukusanyika zaidi na kuchoma moto sehemu watakazo.

Vyombo vya ulinzi viwasikilize wasio taka uchaguzi kabla hatujaingia kwenye vita
Chande 🤣🤣

Chande anasema sisi tunaoweza kuchambua viashiria hatarishi vya usalama wa taifa na maslahi yake tulikuwa na mafunzo maalumu.

Mtu yoyote ambaye hajaona mauaji makubwa yanayokuja dhidi ya Wazanzibari ni "Ignorant".

Chande atahasebika kama kichocheo cha vita ya wenyewe kwa Wenyewe, mauaji ya kisasi dhidi ya Wazanzibari.

Msiseme hamkuonywa, wala msilete uchawa kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kwa Taifa.

Maandamano yajayo yatakuwa ya Kuidai Tanganyika, yataambatana na mapigano kati ya wananchi kwa wananchi hasa Watu wenye asili ya Zanzibar.

Tuliwaelezea namna maandamano yatafanikiwa, sasa tunasema yajayo
 
Mkuu upo mbele ya muda , Hongera sana
 
Back
Top Bottom