MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ukipiga hizi hesabu unafeli, Maandamano yenye madhara ni kwenye majiji makubwa esp Dar sio porini. Kuna maeneo yakishakuwa na ulinzi na usalama wa kutosha tishio la maandamano linafeli.Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.
Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi.
Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya na wapiga kura, mwisho waliosema wata tick hawatoonekana vituoni, kingine vituo vitaharibika na hali ya usalama itakuwa ndogo.
Polisi wakiwekeza nguvu kwenye vituo vya polisi watakosa nguvu kazi ya kuzuia maandamano maeneo mengine magumu na kuruhu waandamanaji kukusanyika zaidi na kuchoma moto sehemu watakazo.
Vyombo vya ulinzi viwasikilize wasio taka uchaguzi kabla hatujaingia kwenye vita
Na dar ndo itapewa kipaumbele kwenye ulinzi ikifuatiwa na Mwanza Kisha Mbeya halafu Arusha. Huko pengine hata mgambo wanaweza kupatuliza.Kwa hapa Dar tukitoka hata watu elfu moja tu kuandamana basi police washapoteza udhibiti
Ndio maana nimesema opportunity ya kufanya maandamano na kufanikiwa ni kubwa kama hizi pressure point zitakuwa let focus...Ukipiga hizi hesabu unafeli, Maandamano yenye madhara ni kwenye majiji makubwa esp Dar sio porini. Kuna maeneo yakishakuwa na ulinzi na usalama wa kutosha tishio la maandamano linafeli.
Si kweliNa dar ndo itapewa kipaumbele kwenye ulinzi ikifuatiwa na Mwanza Kisha Mbeya halafu Arusha. Huko pengine hata mgambo wanaweza kupatuliza.
Ukishatoka tu kwenye miji mikubwa, Tanzania watu wake wamesambaa, mobilization ni Kazi halafu hata wakijimobilize wakakusanyika maandamano Yao hayana madhara makubwa kuzuia shughuli za kiuchumi tofauti na eneo kama Dar ambapo shughuli zikisimama mfano kariakoo, bandari n.k mpaka mikoani wanafeel Kuna kitu kinaendelea nchini. Hii ni tofauti na sehemu kama Mwanga wakiandamana, sehemu kubwa ni pori, Kamji kadogo hata ukiwaacha uwarudie baadae inawezekana. Ndo maana nasema ukipiga hesabu ya polisi kuwa wasambazwe nchi nzima haiendi hivyo.Si kweli
Na siku zote maandamano hayawez kufanyika siku Moja kwa nchi nzimaNdio maana nimesema opportunity ya kufanya maandamano na kufanikiwa ni kubwa kama hizi pressure point zitakuwa let focus...
Kingine kuhusu Dar, ni kweli na ni target nzuri ila point kubwa ni kuhakikisha maandamano yanafanyika Nchi nzima hili polisi wawe constrained...
Sasa tarehe 29 watazuiaje internet watu wakamilishe application, huyu mama WATU wamemset hadi akajaa kwenye mfumo29 october kutiki
29 october kutoka
29 october besdei ya magu
29 october dedline ya kuapply kazi
😃 utachagua cha kufanya
Uchaguzi ukisogezwa mbele na maandamano yatasogezwa mbele, hivi viwili lazima vifanyike siku moja this is according to the strategists.SI rahisi kufika kituo Cha kupiga kura kabla ya kukutana na polisi au demonstrators.
Uchaguzi labda usogezwe mbele.
Dsm watatoka watu minimum mil 1Kwa hapa Dar tukitoka hata watu elfu moja tu kuandamana basi police washapoteza udhibiti
Kwanini tumefika hapa? Hilo ni swali Samia na Genge lake wanapaswa kutafakari kisha kuchukua hatua,hali haiko sawaNimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.