Watu mbona walikuepo hakuona maasikali kibao wameandamanWanaukumbi.
MAANDAMANO yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au Chadema haivutii Watanzania?
2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya Chadema ni nini?
3. Bila ya bargaining power Chadema wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?
4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani
5. wa maaana.
Hivi haujiulizi kuwa mpaka sasa kuna maandamano?Wanaukumbi.
MAANDAMANO yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au Chadema haivutii Watanzania?
2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya Chadema ni nini?
3. Bila ya bargaining power Chadema wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?
4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani
5. wa maaana.
Wakati mwingine jaribu kushughulisha ubongo wako. Kwangu mimi Chadema wamefanikiwa sana. Walichopanga kukisema kwa dunia kimefika. Ni mjinga tu atakaye kataa kuamini. Hivi ukihesabu gharama za kuwadhibiti unaiona logic? Unajua hao askari waliotoka mikoani kwa ajili ya Chadema wamelipwa kiasi gani? Na mafuta ya magari? Inawezekana hata mapolisi wakatamani maandamano yatangazwe tena ili wanufaike. Serikali imetumia gharama kubwa kuzuia Chadema wasiwaseme watekaji na wauwaji, hili nalo la kujisifia!!!Wanaukumbi.
Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania?
2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?
3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?
4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani wa maaana.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
sHALLOW ANALYSISWanaukumbi.