Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.

Swali:

1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania?

2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?

3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?

4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani ⁠wa maaana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
 
Wanaukumbi.

MAANDAMANO yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au Chadema haivutii Watanzania?

2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya Chadema ni nini?

3. Bila ya bargaining power Chadema wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?

4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani
5. ⁠wa maaana.
Watu mbona walikuepo hakuona maasikali kibao wameandaman
 
Ndivyo hata uchaguzi utakavyokuwa
Idadi ya wapiga kura itakuwa mdogo sana Mapolisi watawazidi wapigakura
 
Kweli MAANDAMANO yaliyoitwa na MBOWE, leader wa chama kikubwa cha upinzani kiwe na low turnout kama vile?

😃😃
 
Wanaukumbi.

MAANDAMANO yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.
Swali:
1. Ni uwoga au Chadema haivutii Watanzania?

2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya Chadema ni nini?

3. Bila ya bargaining power Chadema wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?

4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani
5. ⁠wa maaana.
Hivi haujiulizi kuwa mpaka sasa kuna maandamano?
Yalitangazwa ya siku moja lakini mpaka leo hii wanaandamana.
Au mwenzetu hauoni!!
 
Wanaukumbi.

Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.

Swali:

1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania?

2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?

3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?

4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani ⁠wa maaana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Wakati mwingine jaribu kushughulisha ubongo wako. Kwangu mimi Chadema wamefanikiwa sana. Walichopanga kukisema kwa dunia kimefika. Ni mjinga tu atakaye kataa kuamini. Hivi ukihesabu gharama za kuwadhibiti unaiona logic? Unajua hao askari waliotoka mikoani kwa ajili ya Chadema wamelipwa kiasi gani? Na mafuta ya magari? Inawezekana hata mapolisi wakatamani maandamano yatangazwe tena ili wanufaike. Serikali imetumia gharama kubwa kuzuia Chadema wasiwaseme watekaji na wauwaji, hili nalo la kujisifia!!!
 
Keyboard warrior Mpo
 
Wanaukumbi.

Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza.

Swali:

1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania?

2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini?

3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO?

4. Mbowe na wenzake muda umefika sasa wa kuachia watu wengine Tanzania hamna upinzani ⁠wa maaana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
sHALLOW ANALYSIS
 
Back
Top Bottom