Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

hayo maandamano haramu ya mapanyarodi na manyumbu ni ya Chadema na wao pekeyoa....

wanaojielewa hawawezi shiriki kupigwa virungu, kuteguliwa taya na viouno ili wakatese na kuipa familia y mizigo wa malezi [emoji205]

Ninyi ndio wendawazimu wachache mliosalia. Tangu lini kutembea kukamtegua mtu taya au kiuno.

Kwa ujinga wenu mnadhani mnawatisha watu kumbe mnazidi kuwapa ujasiri.
 
Back
Top Bottom