Maandamano yazidi kushika Mozambique baada ya waandamanaji kufunga na kushikilia barabara zote za mji wa Maputo

Maandamano yazidi kushika Mozambique baada ya waandamanaji kufunga na kushikilia barabara zote za mji wa Maputo

kwani msumbiji haina jeshi iwasaidie wananchi kupata haki ya chaguo lao..upinzani ni kweli ulishinda uchaguzi ila FRELIMO wakajitangaza wao na jeshi lipo kimya tu badala ya kuwasadia wanachi wasio na msaada badala yake linalinda wahuni..
 
Ila tupende tusipende lkn ukweli ni kwamba ccm inakoelekea ni karibu na mwisho wao wa kutawala japo hakuna dalili zozote kwamba wanaweza wakaondolewa kwa njia ya kura lakini ninachofahamu ni kwamba mwisho wao hauko mbali na kutolewa ni kutolewa tu hata kwa military coup.
 
CCM wapate funzo.2025 wakileta zile mbinu zao chafu tutalianzisha.
Wananchi wenyewe wa kufanyq hivyo ako wapi? Wanaambiwa usilinde kura wao wanakubali tu. Yaani unameachia fish alinde bucha?
Ccm ni fisi
 
Back
Top Bottom