Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Na ninyi Mashushushu pia mnatulaumu sisi Wananchi.View attachment 2052722
Hiyo ni Sudan juzi. Watu HALISI wanadai haki zao. Nimeandika HALISI kwa herufi kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya "wanaotaka ukombozi wa Tanzania kutoka kwa CCM" wamejificha kwenye fake IDs. Ndo maana Lissu alipoitisha maandamano Novemba 2 mwaka jana, hakuna aliyetokea, kama ambavyo hakuna aliyetokea kwenye maandamano ya Mange.
Ofkoz, naelewa kwanini watu wanalazimika kutumia fake IDs. Wanachelea matokeo.
Na kwa upande mwingine, inahitaji moyo mgumu kutumia jina halisi mtandaoni katika zama hizi za matusi na kudhalilisha watu. May be ukombozi uanzie katika level ya mtu binafsi kisha ndo kufanyike collective efforts.
Veronica France tangu lini ukawa chadema?Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Kiongozi wa maandamano ni wewe kamanda?.Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Angalia unachoandika. Hii ni Tanzania nchi yenye taasisi imara za dola. Fanya kazi jenga familia yako na Taifa mengine fuata sheria!πππMuda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Keyboard warriorMuda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
mbona kipindi cha magufuli hukuwa na hizi kelele, sasahivi kisa umemwona samiah madarakani ndo umechachawa, kwa taarifa yako hatutaki tupo na mama bega kwa bega.Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
NAUNGA MKONO HOJAMuda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.
CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!
Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
ADai katiba mpya uwaondoe bila kumwaga damu
Naunga mkonoMuda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.