Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
 
20211220_162031.jpg

Hiyo ni Sudan juzi. Watu HALISI wanadai haki zao. Nimeandika HALISI kwa herufi kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya "wanaotaka ukombozi wa Tanzania kutoka kwa CCM" wamejificha kwenye fake IDs. Ndo maana Lissu alipoitisha maandamano Novemba 2 mwaka jana, hakuna aliyetokea, kama ambavyo hakuna aliyetokea kwenye maandamano ya Mange.

Ofkoz, naelewa kwanini watu wanalazimika kutumia fake IDs. Wanachelea matokeo.

Na kwa upande mwingine, inahitaji moyo mgumu kutumia jina halisi mtandaoni katika zama hizi za matusi na kudhalilisha watu. May be ukombozi uanzie katika level ya mtu binafsi kisha ndo kufanyike collective efforts.
 
watu huchoka na kuamua wenyewe automatically, madhara ya kulazimisha watu na kuwaingiza road ni makubwa sana na unaweza usiipate amani....Sudan watakuwa wanaandamana kila siku maana walikuwa hawajawa tayari na walichokuwa wanakitaka...
 
View attachment 2052722
Hiyo ni Sudan juzi. Watu HALISI wanadai haki zao. Nimeandika HALISI kwa herufi kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya "wanaotaka ukombozi wa Tanzania kutoka kwa CCM" wamejificha kwenye fake IDs. Ndo maana Lissu alipoitisha maandamano Novemba 2 mwaka jana, hakuna aliyetokea, kama ambavyo hakuna aliyetokea kwenye maandamano ya Mange.

Ofkoz, naelewa kwanini watu wanalazimika kutumia fake IDs. Wanachelea matokeo.

Na kwa upande mwingine, inahitaji moyo mgumu kutumia jina halisi mtandaoni katika zama hizi za matusi na kudhalilisha watu. May be ukombozi uanzie katika level ya mtu binafsi kisha ndo kufanyike collective efforts.
Na ninyi Mashushushu pia mnatulaumu sisi Wananchi.

Ili tuingie chaka.
 
Hakuna sababu yakumchoma sindano ya sumu mgonjwa mahututi ili afe wakati tayari iziraili mtoa roho yuko njiani kumuendea.Bado kitambo kidogo sana mgonjwa wetu aende marikiti kwa hiyari yake.Kwahiyo ngoja kwanza tuone kama ana ubavu wakupambana na iziraeli.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Usitudanganye, maandamano so njia sahihi na si utamaduni wetu, tutajadiliana
 
Ukombozi Tanzania utakuja automatically, ila kusema watu waandamane au wajitokeze kudai hali yao, hiyo sahau, Nchi hii mpaka sasa miamba wa upinzani ni wawili tu Sheikh Ponda na Mbowe, period.
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Veronica France tangu lini ukawa chadema?

Au umeona ukitumia sukuma gang utashindwa?😂😂😂😂

Na bado lazima urukwe kichaa 2022 kwa Samia atavyozidi kuupiga mwingi!

Kubali tu matokeo! Hakuna cha kuleta maandamano Tanzania, watu wanachapa kazi na fursa za kufanikiwa ziko wazi kwa kila mwananchi! Serikali inatimiza wajibu wake vizuri chini ya jemedari imara Samia Suluhu Hassan
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Kiongozi wa maandamano ni wewe kamanda?.
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Angalia unachoandika. Hii ni Tanzania nchi yenye taasisi imara za dola. Fanya kazi jenga familia yako na Taifa mengine fuata sheria!🙏🙏🙏
 
Umeanza kuona umuhimu wa maandamano lini? Ni baada ya mirija yako kuzibwa? Acheni fitna na uzandiki.
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Keyboard warrior
 
mbona kipindi cha magufuli hukuwa na hizi kelele, sasahivi kisa umemwona samiah madarakani ndo umechachawa, kwa taarifa yako hatutaki tupo na mama bega kwa bega.

Wenye wivu, legeza wezere dawa ikuingieni sindano isivunjike, upo.
 
Kitu ambacho sisiyemu watamwagia damu nj kutaka kutolewa madarakani.

Si waona katiba tu wanavyoogopa
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
NAUNGA MKONO HOJA
 
Walahi bila Sadaka ya watu Kama 1000 CCM haitokaa ikubali Katiba Mpya, Wala kutoka madarakani, labda Jeshi liiondoe kwa nguvu, Katiba Toka wakati wa Nyalali 92 hadi Leo yapat miaka 29 Katiba Bado inadaiwa, NJIA pekee ni
1) Maandamo Makubwa ya kutishia Serikali kuondolewa madarakani. 2) Mali zote zinazomilikiwa na CCM inatakiwa kuzipiga marufuku kwa mpenda Katiba Mpya watu wazisusie mbona watanyoka et wanasema Wanachama milioni nane walahi labda elf nane, sasa hawa 8000 waweza kuhudumia Mali za Chama Cha ccm. 3) Kila uchaguzi ukifanyika hata Kama ni mdogo Chadema/act/cuf n.k wasisue hata Kama ni uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji, diwani,Mbunge Wote waende na ajenda Moja KATIBA Mpya kampaign zao ziwe ni Katiba Mpya Kila mahali mbona Nyinyiem watatoa go ahead ya Katiba Mpya. NB. Yakizingatiwa haya mojawapo Katiba Mpya hyooo

Dai katiba mpya uwaondoe bila kumwaga damu
A
 
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena.

CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu!

Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
Naunga mkono
 
Back
Top Bottom