Umewasikiliza hao Chadema na kuisikiliza Serikali ikakwambia haipati ujumbe wowote?Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
SukariWakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
Wewe ukimtia mimba mke leo, anaweza kuzaa kesho au kesho kutwa?Kuna kilitekelezwa ? Kuanzia miswaada ya sheria , yangekuwa na impact hii ccm ingeyaruhusu ?
Maandamano haya yamelenga kutuma ujumbe kwa wanaoitwa wahisani kwamba sasa hivi kuna uhuru wa kidemokrasia, haki za kiraia kuheshimiwa tofauti na ilivyokuwa wakati wa Magufuli.
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
Viongozi wanatumia hayo maandamano kula ruzuku kwa posho za safariWakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
Umelazimishwa andamana ,nyie ndo wabinafsi no moja ,pumbavuWakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda .
Cdm jitafakarini
Acha hao wanaoitwa Wananchi wapoyezwe maboya maana ni majinga.Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .