Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Maswali yangu naisi magumu sana kwenu
Maana hua hamyajibu

Acha mimi nikujibu maswali yako yote kwa jibu moja nyoofu ni
Maamuzi ya Allahu vipi unataka kumpangia.

Aya lete Majibu ya swali hili tu moja nione usomi wako tangu zilipoanza post umeshindwa kuyajibu

Je uyo ulie mtundika kwenye shingo yako. Ni nani alie sema kua ndie Yesu
Na kama sio kwanini
Mnamshirikisha Yesu na kiumbe asicho kijua
Unazungumzia nni mbona hueleweki sasa?
 
Mungu ana nafsi tatu though ni mmoja. Kwa kuelewa hili peke yake kungetosha kujibu swali lako la laana na mengine mengi ila kwa sababu mnajua mkikubali utatu huu wa Mungu basi foundation yote ya islam inaanguka so mnaona the best way to deal with this truth ni kukataa.
God The Father
God The Son
God The Holy Spirit.

Wakati Yesu anabaatizwa nafsi zote tatu za Mungu zilikuwa reveeled.

16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho(The Holy Spirit) wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
17 na tazama, sauti kutoka mbinguni(God The Father) ikisema, Huyu ni mwanangu (Son), mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Aliyebaatizwa siku hiyo ni JESUS (God The Son) aliyeshuka kama Hua(God The Holy Spirit) na aliyetoa sauti na kudeclare kuwa Aliyebaatizwa ni mwanaye ni Mungu (God The Father).

Najua utaendelea kubisha but again i won't be surprised coz thats who you people are and thats what you do best.
Hapo ata unacho kiongea una kielewa kweli

Swali la kwanza
Yesu alipo maliza na kupanda juu ya maji akaona mbingu zikifunuka na aka muona roho
Hapo teari kakiona kiumbe chengine ambacho sio yeye.

Pili Na tazama sauti ikatoka minguni ikasema huyo mwanae hapo pia ni mwengine ana ongea

Aya niambie kati ya hao yupi kalaaniwa pale msalabani
 
Unazungumzia nni mbona hueleweki sasa?
Qoute aikuhusu wewe mwenye qoute ashangai

Kua nina kusudia nini
Kwa faida alie pewa qoute anaamini kuhusu sanam analo vaa shingoni kua ndie Yesu wao je ni kweli hilo kua yule jamaa ndio yesu halisi
 
Maamuzi ya Allahu vipi unataka kumpangia.
  • Allah kwake hakuna dhambi aliziruhusu kwa Muhammad na kumshushia verse kabisa , uchafu wote kamruhusu
  • Allah anamkuta muhammad kakamatwa anakula house girl (muhammad akasema hatarudia) Allah akaingilia kati akashusha verse na aka mwambia muhammad kwa nini unakataza niliyokuruhusu why!! why! 🤣
    • It was narrated from Anas, that Muhammad had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed: "O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' Sunan an-Nasa'i 3959
 
Hapo ata unacho kiongea una kielewa kweli

Swali la kwanza
Yesu alipo maliza na kupanda juu ya maji akaona mbingu zikifunuka na aka muona roho
Hapo teari kakiona kiumbe chengine ambacho sio yeye.

Pili Na tazama sauti ikatoka minguni ikasema huyo mwanae hapo pia ni mwengine ana ongea

Aya niambie kati ya hao yupi kalaaniwa pale msalabani
Sasa kama wewe unalazimisha kuwa kaona kiumbe kingine basi ni wewe sasa ndo unayesema kuna Mungu zaidi ya mmoja na sio mimi. Maelezo yangu yamekueleza vizuri kabisa nafsi tatu zote za Mungu na kana kwamba haitoshi nimekupa na mfano ambapo nafsi zote tatu zimeonekana kwa wakati mmoja.

Na pia acha kuuliza maswali kama Headless chicken ,kwenye post iliyotangulia niekueleza kabisa suala la kulaaniwa aliyetundikwa mtini lipo namna gani sasa hapo nikuelezee nini tena? Mbona unadhalilisha wenzio? Unafanya wote muonekane tabulalasa.

Try to be smart a little.
 
Qoute aikuhusu wewe mwenye qoute ashangai

Kua nina kusudia nini
Kwa faida alie pewa qoute anaamini kuhusu sanam analo vaa shingoni kua ndie Yesu wao je ni kweli hilo kua yule jamaa ndio yesu halisi
Unaongea vitu ambavyo havipo ndo maana unashindwa kueleweka,weka vizuri swali lako liweke hata mimi nitakujibu hamna tatizo.
 
Ujajibu swali jepesi
Acha nikuulize
Tena je laana ni kitu kizuri
Na
Ni nani aliye mpa laana Yesu
Kama ni yeye mwenyewe hivi inawezekana vipi Mungu akajipaa laana wakati inajulikana wazi kua laana kawaida yake ni kusambaa kizazi hadi kizazi
Walimu wana kazi sana jamani.

Laana si kitu kizuri ndio maana Yesu alikuja kuibeba badala yetu ili sisi tupate kupona.

Hapakuwa na haja ya somebody kumpa anybody laana kwa sababu kwenye torati kitambo sana ilikuwa imeandikwa tayari kuwa yeyote aliyetundikwa juu ya mti amelaaniwa (na hii ndiyo sababu ya Yesu kuchagua kufa kifo cha msalabani na sio cha aina nyingine yeyote).

Yesu alibeba laana ingawa hakuwahi kutenda dhambi na ndio maana sadaka yake kwa ajili ya maovu ya wanadamu wote ilipokelewa.

Laana na mzigo wa dhambi wote aliutua kwa kufa kwake na alipofufuka akarudi katika hali yake ya Umungu aliyokuwa nayo kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
 
Uongo! Mungu hawezi kufanya jambo chini ya kiwango!!
Ndicho ninachomaanisha na ndio maana ya hilo andiko kwahio ilikua n lugha ya kishairi au kisanaa na Mwandishi wa kitabu hicho alikusudia kusema kuwa kamwe hekima na maarifa ya MUngu hatuwezi kuyafikia, hayadarirkiki, ni ya juu sana. Naweza kukupa mifano kama utahitaji
 
Black men lack collective intelligence, which is the ability of a crowd to make wise, brilliant decisions and execute it. Individually black men are intelligent and smart, some are even highly gifted intellectually, but evidence has not pointed us to any instance where groups of Black men have made smart decisions that positively affect and improve their quality of life.
Your right I give you that and its because we have been growing in a society that undermines our own race and character we do not trust what a Blackman can do and that has torn us apart, if someone black dares to show challenge and real wisdom we cut em down we oppose em we fight for them to be silent because he/she is just someone we know, someone of our own
 
Kama bado yupo Muislam anayeutumia huu mstari kujastify uninga wake basi kweli huyu anahitaji maombi. Nitakufafanulia kwa faida ya wote wenye upeo mdogo kama wako.

Wagalatia 3:13
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
14 ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.

Biblia inapozungumzia habari za Yesu kutukomboa inazungumzia Yesu kubeba dhambi zetu pamoja na laana zake ili sisi tuhesabiwe haki mbele za Mungu. Yesu hakuwa na dhambi lakini alikubali kusulubiwa ili achukue dhambi zetu na laana zetu.

Kwa hiyo kwenye huo mstari Paulo anajaribu kuwafafanulia wagalatia ni situation ipi inathibisha kuwa Yesu alibeba laana zao. Ndipo anapowaonyesha kuwa imeandikwa Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti.
Mstari unaofuata unaeleza kwanini Yesu pale msalabani alibeba laana za watu wote.
Biblia inasema

14 ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.

So maana yake ni kwamba Yesu alisulubiwa kwa kuchukua dhambi zetu na laana zote zinazotokana na kutokufuata torati ambazo kimsingi zilikuwa zinawazuia watukupokea Baraka za ibrahimu na kupokea ahadi ya Roho Mtakatifu.

Sasa usipoelewa hapo najua ni ubishi tu lakini sitashangaa kwa sababu mgekuwa sio wabishi muda huu mngekuwa mahampokea kristu.
Kwa Mujibu andiko lako ni kwamba YESU amelaaniwa kwa kuangikwa/kutundikwa msalabani ili Wakristo Msamehewa.

SWALI
Kama Yesu amefanywa laana na kulaaniwa ili Wakristo msamehewe, Je siku ya mwisho yesu ataingia Jehanamu ipi?

Kwsnini yesu mmembebesha Mzigo wa Dhambi huku mkitaka aende Motoni ni Nyinyi ndio Muende Peponi?

Kana Yesu amelaaniwa. Je, siku ya mwisho/kiama ataenda wapi?
 
Kwsnini yesu mmembebesha Mzigo wa Dhambi huku mkitaka aende Motoni ni Nyinyi ndio Muende Peponi?
Tungeanza na maandiko yako kwanza ili kama unayaelewa ndio tuje kwa Yesu
Waislam dhambi zenu watabebeshwa wakristo na wayahudi
  • Kwanini allah awabebeshe mzigo wa dhambi huku akitaka wakristo waende motoni na na nyinyi ndio muende peponi
  • Alla alikuwa na hasira kiasi gani na only wakristo na wayahudi na si dini zingene? je allah alikuwa anajua kuna dini zingine?
    • There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
 
We unavyo ona ndio usha jibu swali hapo mwenyewe.
 
We unavyo ona ndio usha jibu swali hapo mwenyewe.
Ukiniona Unaweweseka tena jibu maswali
  • Kwanini allah awabebeshe mzigo wa dhambi huku akitaka wakristo waende motoni na na nyinyi ndio muende peponi
  • Alla alikuwa na hasira kiasi gani na only wakristo na wayahudi na si dini zingene? je allah alikuwa anajua kuna dini zingine?
    • There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
 
Ukiniona Unaweweseka tena jibu maswali
  • Kwanini allah awabebeshe mzigo wa dhambi huku akitaka wakristo waende motoni na na nyinyi ndio muende peponi
  • Alla alikuwa na hasira kiasi gani na only wakristo na wayahudi na si dini zingene? je allah alikuwa anajua kuna dini zingine?
    • There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
Hapo ndio ushajibu maswali

Ungekuwa umefanana na mke wangu ninge weweseka
 
Usiweweseke jibu kwanza yangu ndio tuende kwa yako , alafu kwa nini ukipigwa Crystapen Injection unaanza kutaja taja njiti mara decon [emoji28] [emoji1787] [emoji28]

Tumalize aya kwanza
  • Embu tuambie kwanini Allah alikuwa so concern na rugu ya Muhammad , kamshushia mpaka verse za kula mjakazi
    • Koran 33:50....na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia....
  • Kaona haitoshi akasema waumini wakajitoe wenyewe
  • Aisha kwanza akawa anaona ni disgusting behavior
    • I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?"."Sahih al-Bukhari 4788
  • Aisha akamwambia muhammad naona mungu wako anajali matamanio yako
    • ..."I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
Wee Mokiti hili Swali lako la kuhusu Bi Aisha na umri wake wa kuolewa sasa linakufa hapa kifo cha mende. Ndio nakujibu sasa.

Na pia hili Andiko nitakujibu kwanini Mtume Muhammad(Rehma na Amani iwe juu yake) alikuwa na wake wengi(takribani 9-12) na sababu ya kuwa na hao wake ipo hapo. Otherwise ujifanye hujui Kiingereza.

Did Prophet Muhammad marry a 9-year-old girl?

There is little evidence she (A’isha) was 9 years old. Historical analysis of the sources shows she was 14–16 when she was betrothed.

Also, if you watch Game of Thrones, you would understand how marriage in 7th century Arabia is really not about romance, nor about sexual desire. It was about alliance building, merging clans, solidifying tribal loyalties and also bringing vulnerable women into the protection of powerful leaders.

Prophet Muhammad married 12 women over his lifetime: 1 marriage was for love (Khadijah); 6 marriages (Sawda, Hafsah, Zaynab, Umm Salamah, Umm Habibah, Maymunah) were to vulnerable widowed and divorced women whom Muhammad took into his house and protection; 2 marriages were proposed or requested by the women (Safiyyah, Zaynab); 2 marriages were to form familial and political alliances with another tribe (A’isha, Juwariyah); 1 marriage (Maryam the Copt) was to a slave girl sent to Muhammad by the Archbishop of Alexandria (more on Muhammad’s marriages here).

Contrary to popular myth, A’isha was not six years old when she married Muhammad. All of the historical evidence when examined as a whole suggests that A’isha was born 4 years before Muhammad began his prophetic mission and was married to the Prophet on her father’s initiative in the tenth year of Muhammad’s mission (620) – she was therefore around 14 years of age at the time of betrothal (620 AD) and 16-18 years old at the date of marriage (624 AD) and this was a normal marriage age until quite recently (all the evidence is analyzed in this peer reviewed article and a non peer reviewed but more comprehensive layman article).
 
Usiweweseke jibu kwanza yangu ndio tuende kwa yako , alafu kwa nini ukipigwa Crystapen Injection unaanza kutaja taja njiti mara decon [emoji28] [emoji1787] [emoji28]

Tumalize aya kwanza
  • Embu tuambie kwanini Allah alikuwa so concern na rugu ya Muhammad , kamshushia mpaka verse za kula mjakazi
    • Koran 33:50....na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia....
  • Kaona haitoshi akasema waumini wakajitoe wenyewe
  • Aisha kwanza akawa anaona ni disgusting behavior
    • I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?"."Sahih al-Bukhari 4788
  • Aisha akamwambia muhammad naona mungu wako anajali matamanio yako
    • ..."I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
Sasa usirudie rudie swali lako ikiwa ushapewa Majibu.
 
Back
Top Bottom