GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Unazungumzia nni mbona hueleweki sasa?Maswali yangu naisi magumu sana kwenu
Maana hua hamyajibu
Acha mimi nikujibu maswali yako yote kwa jibu moja nyoofu ni
Maamuzi ya Allahu vipi unataka kumpangia.
Aya lete Majibu ya swali hili tu moja nione usomi wako tangu zilipoanza post umeshindwa kuyajibu
Je uyo ulie mtundika kwenye shingo yako. Ni nani alie sema kua ndie Yesu
Na kama sio kwanini
Mnamshirikisha Yesu na kiumbe asicho kijua
Hapo ata unacho kiongea una kielewa kweliMungu ana nafsi tatu though ni mmoja. Kwa kuelewa hili peke yake kungetosha kujibu swali lako la laana na mengine mengi ila kwa sababu mnajua mkikubali utatu huu wa Mungu basi foundation yote ya islam inaanguka so mnaona the best way to deal with this truth ni kukataa.
God The Father
God The Son
God The Holy Spirit.
Wakati Yesu anabaatizwa nafsi zote tatu za Mungu zilikuwa reveeled.
16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho(The Holy Spirit) wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
17 na tazama, sauti kutoka mbinguni(God The Father) ikisema, Huyu ni mwanangu (Son), mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Aliyebaatizwa siku hiyo ni JESUS (God The Son) aliyeshuka kama Hua(God The Holy Spirit) na aliyetoa sauti na kudeclare kuwa Aliyebaatizwa ni mwanaye ni Mungu (God The Father).
Najua utaendelea kubisha but again i won't be surprised coz thats who you people are and thats what you do best.
Qoute aikuhusu wewe mwenye qoute ashangaiUnazungumzia nni mbona hueleweki sasa?
Maamuzi ya Allahu vipi unataka kumpangia.
Sasa kama wewe unalazimisha kuwa kaona kiumbe kingine basi ni wewe sasa ndo unayesema kuna Mungu zaidi ya mmoja na sio mimi. Maelezo yangu yamekueleza vizuri kabisa nafsi tatu zote za Mungu na kana kwamba haitoshi nimekupa na mfano ambapo nafsi zote tatu zimeonekana kwa wakati mmoja.Hapo ata unacho kiongea una kielewa kweli
Swali la kwanza
Yesu alipo maliza na kupanda juu ya maji akaona mbingu zikifunuka na aka muona roho
Hapo teari kakiona kiumbe chengine ambacho sio yeye.
Pili Na tazama sauti ikatoka minguni ikasema huyo mwanae hapo pia ni mwengine ana ongea
Aya niambie kati ya hao yupi kalaaniwa pale msalabani
Unaongea vitu ambavyo havipo ndo maana unashindwa kueleweka,weka vizuri swali lako liweke hata mimi nitakujibu hamna tatizo.Qoute aikuhusu wewe mwenye qoute ashangai
Kua nina kusudia nini
Kwa faida alie pewa qoute anaamini kuhusu sanam analo vaa shingoni kua ndie Yesu wao je ni kweli hilo kua yule jamaa ndio yesu halisi
Walimu wana kazi sana jamani.Ujajibu swali jepesi
Acha nikuulize
Tena je laana ni kitu kizuri
Na
Ni nani aliye mpa laana Yesu
Kama ni yeye mwenyewe hivi inawezekana vipi Mungu akajipaa laana wakati inajulikana wazi kua laana kawaida yake ni kusambaa kizazi hadi kizazi
Bwege gani?Haya tupe majibu kuhusu yule bwegee munae mvaa ana uhusiano gani na yesu
Ndicho ninachomaanisha na ndio maana ya hilo andiko kwahio ilikua n lugha ya kishairi au kisanaa na Mwandishi wa kitabu hicho alikusudia kusema kuwa kamwe hekima na maarifa ya MUngu hatuwezi kuyafikia, hayadarirkiki, ni ya juu sana. Naweza kukupa mifano kama utahitajiUongo! Mungu hawezi kufanya jambo chini ya kiwango!!
Your right I give you that and its because we have been growing in a society that undermines our own race and character we do not trust what a Blackman can do and that has torn us apart, if someone black dares to show challenge and real wisdom we cut em down we oppose em we fight for them to be silent because he/she is just someone we know, someone of our ownBlack men lack collective intelligence, which is the ability of a crowd to make wise, brilliant decisions and execute it. Individually black men are intelligent and smart, some are even highly gifted intellectually, but evidence has not pointed us to any instance where groups of Black men have made smart decisions that positively affect and improve their quality of life.
Kwa hiyo mfano baba akiwa daktari basi na mtoto ni daktari sababu anatibiwa na kuishi baba daktari? LUTU hajwahi kuwa nabiiLutu alikuwa mtumishi wa Mungu, tena aliyefundishwa na nabii Ibrahim, kwa hiyo akiwa nabii ni Sawa tu maana ni zao la nabii Ibrahim
Kwa Mujibu andiko lako ni kwamba YESU amelaaniwa kwa kuangikwa/kutundikwa msalabani ili Wakristo Msamehewa.Kama bado yupo Muislam anayeutumia huu mstari kujastify uninga wake basi kweli huyu anahitaji maombi. Nitakufafanulia kwa faida ya wote wenye upeo mdogo kama wako.
Wagalatia 3:13
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
14 ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.
Biblia inapozungumzia habari za Yesu kutukomboa inazungumzia Yesu kubeba dhambi zetu pamoja na laana zake ili sisi tuhesabiwe haki mbele za Mungu. Yesu hakuwa na dhambi lakini alikubali kusulubiwa ili achukue dhambi zetu na laana zetu.
Kwa hiyo kwenye huo mstari Paulo anajaribu kuwafafanulia wagalatia ni situation ipi inathibisha kuwa Yesu alibeba laana zao. Ndipo anapowaonyesha kuwa imeandikwa Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti.
Mstari unaofuata unaeleza kwanini Yesu pale msalabani alibeba laana za watu wote.
Biblia inasema
14 ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.
So maana yake ni kwamba Yesu alisulubiwa kwa kuchukua dhambi zetu na laana zote zinazotokana na kutokufuata torati ambazo kimsingi zilikuwa zinawazuia watukupokea Baraka za ibrahimu na kupokea ahadi ya Roho Mtakatifu.
Sasa usipoelewa hapo najua ni ubishi tu lakini sitashangaa kwa sababu mgekuwa sio wabishi muda huu mngekuwa mahampokea kristu.
Tungeanza na maandiko yako kwanza ili kama unayaelewa ndio tuje kwa YesuKwsnini yesu mmembebesha Mzigo wa Dhambi huku mkitaka aende Motoni ni Nyinyi ndio Muende Peponi?
We unavyo ona ndio usha jibu swali hapo mwenyewe.Tungeanza na maandiko yako kwanza ili kama unayaelewa ndio tuje kwa Yesu
Waislam dhambi zenu watabebeshwa wakristo na wayahudi
- Kwanini allah awabebeshe mzigo wa dhambi huku akitaka wakristo waende motoni na na nyinyi ndio muende peponi
- Alla alikuwa na hasira kiasi gani na only wakristo na wayahudi na si dini zingene? je allah alikuwa anajua kuna dini zingine?
- There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
Ukiniona Unaweweseka tena jibu maswaliWe unavyo ona ndio usha jibu swali hapo mwenyewe.
Hapo ndio ushajibu maswaliUkiniona Unaweweseka tena jibu maswali
- Kwanini allah awabebeshe mzigo wa dhambi huku akitaka wakristo waende motoni na na nyinyi ndio muende peponi
- Alla alikuwa na hasira kiasi gani na only wakristo na wayahudi na si dini zingene? je allah alikuwa anajua kuna dini zingine?
- There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
NIkishaona ivi najua crystapen injection 600mg imepenyaHapo ndio ushajibu maswali
Ungekuwa umefanana na mke wangu ninge weweseka
Ndio ushajibu maswali hapoNIkishaona ivi najua crystapen injection 600mg imepenya
Husirudie tena
Wee Mokiti hili Swali lako la kuhusu Bi Aisha na umri wake wa kuolewa sasa linakufa hapa kifo cha mende. Ndio nakujibu sasa.Usiweweseke jibu kwanza yangu ndio tuende kwa yako , alafu kwa nini ukipigwa Crystapen Injection unaanza kutaja taja njiti mara decon [emoji28] [emoji1787] [emoji28]
Tumalize aya kwanza
- Embu tuambie kwanini Allah alikuwa so concern na rugu ya Muhammad , kamshushia mpaka verse za kula mjakazi
- Koran 33:50....na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia....
- Kaona haitoshi akasema waumini wakajitoe wenyewe
- Aisha kwanza akawa anaona ni disgusting behavior
- I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?"."Sahih al-Bukhari 4788
- Aisha akamwambia muhammad naona mungu wako anajali matamanio yako
- ..."I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
Sasa usirudie rudie swali lako ikiwa ushapewa Majibu.Usiweweseke jibu kwanza yangu ndio tuende kwa yako , alafu kwa nini ukipigwa Crystapen Injection unaanza kutaja taja njiti mara decon [emoji28] [emoji1787] [emoji28]
Tumalize aya kwanza
- Embu tuambie kwanini Allah alikuwa so concern na rugu ya Muhammad , kamshushia mpaka verse za kula mjakazi
- Koran 33:50....na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia....
- Kaona haitoshi akasema waumini wakajitoe wenyewe
- Aisha kwanza akawa anaona ni disgusting behavior
- I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?"."Sahih al-Bukhari 4788
- Aisha akamwambia muhammad naona mungu wako anajali matamanio yako
- ..."I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788